Leo Mke wangu anapiga taarabu tu

Leo Mke wangu anapiga taarabu tu

Mkuu kuwa basi kidogo mpaka umri huo unachanganywa na taarabu kweli?? Aisee katafute pesa kama uko mapumziko leo nenda sehem itakayokupa furaha mkuu
 
Lamba makofi mawili ya kutosha akome zima redio ipasue kabisa ikiwezekana.
Kuna mmoja alinipanda kichwa miaka fulani na ni kibonge hivi.
Kaondoka na mtoto nikaenda kubembeleza arudi home kakataa.
Mara natimua ananifata nyuma mitusi na dharau km zote.
Alikula Kelbu akapaa km kishada akazima.
Nikataka kutoka baru.
Nikamwonea huruma.
Ikabidi nimrudishe tena kwa dadaake.
Tokea hapo adabu ikawepo
[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wakuu,

Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!

Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.

Ushauri nifanyeje?
Hata kama ni mkorofi, ni wako huyo, mtibu.

Mwanamke ana masikio matatu, haya mawili yakiziba hakuna shida, ila ukiruhusu sikio la tatu lizibe, atakuonyesha kila dharau. Pole sana,
Cc To yeye uione kwa file pls.
 
Habari wakuu,

Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!

Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.

Ushauri nifanyeje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zima umeme apo ndani mkuu
 
Habari wakuu,

Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!

Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo.

Ushauri nifanyeje?
Pole sana mkuu yaani hapo ndo ile mistari inatiririka.

kuwashwa washwa kwa mapenzi!
Mie ndo wake muuguzi
Wengine huniambia nawashwa chini ya futi basi ninamtibia bila wasi pressure huwa sawia km wivu hutulia na malipo bei poa[emoji1][emoji2]

Nakitengo cha massage kuchua na kukanda namtibu mjuaji mnene au aliekonda sitibu wafamaji wale wenye rohombaya walokonda.

Baridiiiiiii baridiiiiiiiiiii
Ola kazime kwenye main switch km mbwai iwe mbwai tuu [emoji23][emoji3]
 
Pole sana mkuu yaani hapo ndo ile mistari inatiririka.

kuwashwa washwa kwa mapenzi!
Mie ndo wake muuguzi
Wengine huniambia nawashwa chini ya futi basi ninamtibia bila wasi pressure huwa sawia km wivu hutulia na malipo bei poa[emoji1][emoji2]

Nakitengo cha massage kuchua na kukanda namtibu mjuaji mnene au aliekonda sitibu wafamaji wale wenye rohombaya walokonda.

Baridiiiiiii baridiiiiiiiiiii
Ola kazima kwenye main switch km mbwai iwe mbwai tuu [emoji23][emoji3]
Umetisha sana😅😅😅
😅😅😅 To yeye
 
Back
Top Bottom