Asante ila hyo sio kachumbari ni salads.
sio kachumbari ni salads
hivi kachumbari kwa kidhungu inaitwaje vile.........MimiNani kasema?
Kwa misosi hiyo bila shaka huyo mgeni anatoka Dar (mwanaume wa Dar)
Inaitwaga "the kachumbalaizi"![]()
![]()
sio kachumbari ni salads
![]()
![]()
![]()
hivi kachumbari kwa kidhungu inaitwaje vile.........
AiseeehMkuu una Vidole vigumu unaonaje ukiomba Zabuni ya Upimaji Tezi dume huko Dar.
I always thought your single, kumbe na mchepuko juu... lol
Chakula kizuri,
hapo kwenye kuku na matunda aisee mngenifukuza.
Kachumbari bado kidogo tho umejitahidi.
Hatujaona drinks.
Vinatamanisha
I miss you my Mothr= You are