Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Mbona yangu hai trace eneo?Mkuu nakushauri download VOICE RECORD ktk simu yako ili kwamba kila simu itayoingia ama kutoka voice zinabaki
Japo ni usumbufu kua itajaza saana nafasi lkn unaweza kuzifuta voice call ambazo si za muhim ktk file yako ili kuokoa nafasi
Hizo voice record kwa hao matapeli kukamatwa ni kama kuskuma mlevi tu,
Kwa sababu pale voice record inaporekodi hua ina tress kabisa na eneo alipo huyo anaekupigia au unaempigia,. Wengi hawajalijua hilo
Sasa hata ukiwapelekea Cyber unakuwa umewarahisishia saaaaana kazi
Nataka niende kwa mganga nipate utajiri nisaidie baba swalehe....Vyuma vimekaza watu hawana hela za kwenda hta kwa mganga hakuna hela ya kuchzea now dayz
Hata yangu inaonesha eneo nilipo mimi tu (sms na calls)Mbona yangu hai trace eneo?
Mimi nimetumiwa hii, Mjukuu wangu ile dawa iko tiyari dawa ya kumvuta aliye mbali pete ya bahati, utajiri wa haraka, masomo, biashara na zindiko la nyumba. No 0624964853
Tapeli mwingine ndiyo kamaliza kunipigia akijifanya kuwa yeye ni mtu wa customer care wa tigo na kuwa nimepewa bonus ya sh, 195,000/= kwa kile alichoeleza kuwa ni kutokana na kuwa mtumiaji mzuri wa tigo pesa, hivyo aliniuliza kama nina shilingi ngapi kwenye tigo pesa na kumjulisha kuwa nina balance ya Milioni mbili. Mara baada ya kumjulisha hivyo akaniambia ngoja atume. Mpaka sasa sijapokea bonus yangu. Kwa yeyote anayeweza tusaidiane kumtafuta huyu tapeli maana ninapo jaribu kupiga namba yake inaita tu, hivyo naomba tusaidiane kwa kutumia namba hii ili nitumiwe bonus yangu namba: 0678773177Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30,alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe,jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.
Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor,cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo,bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.
Taadhali ,ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hata mm nimepokea msg hii kama lisaa limoja lililopita [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo kweli wameamua mwingine huyu......
Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com
nilichomjibu siri yangu.
It is fantastic!How to deal with scammers