gmail.com[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo kweli wameamua mwingine huyu......
Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com
nilichomjibu siri yangu.
Ahsante kwa kutujuza ...Tuweni makini huenda tupo nao humu humu wengineLeo kweli wameamua mwingine huyu......
Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com
nilichomjibu siri yangu.
NITAFUTIE NA KIJANA MWINGINE ALIYEMALIZA KIDATO CHA 4 MWENYE NIDHAMU. NIJIBU HARAKA NDUGU YANGU! ANATUMIA NAMBA 0742992803HABARI ZA LEO NDUGU ILE NAFASI YA KIJANA YA KUJIUNGA NA JESHI IPO TAYARI TUWASILIANE
Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30,alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe,jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.
Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor,cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo,bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.
Taadhali ,ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu