Leo man of the match ni Nassari

Leo man of the match ni Nassari

Ila maoni yangu binafsi Mbowe hafai kuwa mshauri wa masuala ya ndoa kwa sababu ya kwake imemshinda akaamua "kuchepuka" kwa Joyce Mukya akazaa nje ya ndoa

Mbona we ni mwanaharamu ila hatusemi tu. Hujui mamako alichepuka na mlevi Wa mataputapu akakuzaa ww
 
Harusi ya Joshua Nassari na Anande Nnko
imeweza kuwakutanisha pamoja mahasimu
wa kisiasa nchini jioni ya leo Usa River,
Arumeru Mashariki.

Mbowe amemuasa Nassari kutobadilika
msimamo baada ya kuoa maana bado
hakijaeleweka.

Mama Tunu Pinda amemsihi Anande
kumsaidia mumewe aweze kurudi Bungeni
2015.

Naibu spika Job Ndugai amewasihi
wanaArumeru kuendelea kumuunga mkono.

Nassari kwani anaweza na wao ni
mashahidi..akitolea mfano swala la ardhi!!

Sasa huu ulikuwa mkutano wa Kampeni au mkusanyiko wa kushuhudia ndoa?
 
tukisema watoto waliozaliwa nje ya ndoa wote wauawe,sijui wewe utakimbilia wapi,zaidi ya 41% watu wote tz ni watoto waliotokana na michepuko,
Fikiria kama wewe ndo mtoto wa kike wa Mbowe wa familia yake ya awali ungejifunza nini kutoka kwa mama yako?
 
Mnaomponda Mbowe subirini ipo cku mtamkuta anawagonga Mama zenu na wake zenu!!!Nyie wenyewe mmezaliwa nje ya ndoa tena nahc huyo Mwekundu baba yako ni mbowe ila hujui unabwatuka tu.Ebu kamuulize mamako asipokuambia ukweli.
 
great thinkers............this is the room for great thinkers.well,hivi mnaoandika lugha nyeusi hamna aibu??
 
Ila maoni yangu binafsi Mbowe hafai kuwa mshauri wa masuala ya ndoa kwa sababu ya kwake imemshinda akaamua "kuchepuka" kwa Joyce Mukya akazaa nje ya ndoa

Hebu toa maoni kwa yale waliotamka manguli wa ssm!!!! Yametoka kwenye sakafu ya moyo su unafiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom