Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Harusi ya Joshua Nassari na Anande Nnko
imeweza kuwakutanisha pamoja mahasimu
wa kisiasa nchini jioni ya leo Usa River,
Arumeru Mashariki.
Mbowe amemuasa Nassari kutobadilika
msimamo baada ya kuoa maana bado
hakijaeleweka.
Mama Tunu Pinda amemsihi Anande
kumsaidia mumewe aweze kurudi Bungeni
2015.
Naibu spika Job Ndugai amewasihi
wanaArumeru kuendelea kumuunga mkono.
Nassari kwani anaweza na wao ni
mashahidi..akitolea mfano swala la ardhi!!
imeweza kuwakutanisha pamoja mahasimu
wa kisiasa nchini jioni ya leo Usa River,
Arumeru Mashariki.
Mbowe amemuasa Nassari kutobadilika
msimamo baada ya kuoa maana bado
hakijaeleweka.
Mama Tunu Pinda amemsihi Anande
kumsaidia mumewe aweze kurudi Bungeni
2015.
Naibu spika Job Ndugai amewasihi
wanaArumeru kuendelea kumuunga mkono.
Nassari kwani anaweza na wao ni
mashahidi..akitolea mfano swala la ardhi!!