donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake.
Daah nikataka niombe namba ila kutema mayai kama tony blair nikashindwa maana mtoto alikua anamwaga ung'eng'e si wa nchi hii mpaka nusu nitafute subtitles.... nikaona sio kesi japo nimfotoe nitunze memory kwamba 1day woga wangu ulinikosesha mtoto Mboga saba (ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani)!