Leo kwenye pantoni

Leo kwenye pantoni

Demu wa kizungu akupendage yeye lakini ukijishoboa ww lazima utoke bila bila
Si kweli ni kujiamini tu. Jamaa yngu kama wiki 3 nyuma kaopoa mholanzi pale Mlimani city mall. Alianzia kumtemea sumu kule nakumatt mpaka mtt akagawa namba.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?

Begi lilimsitiri, si unaliona hapo kwenye picha kaliweka mapajani... na hapo kilichomfanya asimame ni baada ya kuwaza kuwa ndani ya hicho kigauni ni bra ilifunika chuchu tuu na vikamba kwa nyuma na kyupi ya kufunga kwa mikanda pembeni.

Halafu ngozi lainiiii imelowa mafuta sijui ya olive sijui yepi basi hapo akili imewaka mikono itue kuanzi kwenye pajaz na iteremke hadi kisimani..... simooooo nimemsaidia kuwaza tuu.
 
Mimi ni mmoja wa watu
wanaomsikia sana huyu jamaa
anyeitwa Ras SIMBA,anasema
yeye anafundisha Kingereza
kwa "formula" alizozipata
Ulaya,na formula yake ni ya N +S+T,Anasema hii formula aliigundua Ulaya. Ras Simba anasema usipoongea Kingereza ndani ya MIEZI MITATU basi unarudishiwa hela yako,jeuri yake ni hiuo formula
aliyoichukua huko Ulaya,na Ras SIMBA hana mpinzani katika
kufundisha Kingereza cha kuongea Afrika Mashariki nakati.
Ras anasema kama
unabisha uje na Wakili wako umtiliane saini mkataba ili usipojua kuongea basi Ras
Simba afungwe. Kuna jamaa yangu aliwahi
nambia,demu wake alienda kujifunza kwa Ras Simba...baada ya week akaambiwa ada yake imeisha,akasema mbona yeye bado hajajua kuongea
Kingereza?nasikia Ras
akamwambia:

Demu:Ras mbona sijajua kuongea?

Ras Simba: Mama anaitwaje kwa Kingereza?

Demu: Mother

Ras Simba: Baba je?

Demu:Father

Ras Simba: Basi dada umeshajuwa kuongea
Kingereza

c&p
Ngaliba Dume
Tunachangamsha barza tu kuna watu nyundo 20 shuleni wengine nyundo 10 wengine punch ila lugha ndio tia maji tia maji waweza kwenda beach na kukutana na beach boy (kibongobongo )jamaa unakuta aliwaacha shule akajifanya anasubiri meli jamaa wanamwaga ng'eng'e hao inabidi ukae vizuri kwenda nao. Don mwenyewe kafurahisha barza hapa ili jioni iingie ndo maana nami nikamjibu vile.
 
Wakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake.

Daah nikataka niombe namba ila kutema mayai kama tony blair nikashindwa maana mtoto alikua anamwaga ung'eng'e si wa nchi hii mpaka nusu nitafute subtitles.... nikaona sio kesi japo nimfotoe nitunze memory kwamba 1day woga wangu ulinikosesha mtoto Mboga saba (ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani)!

View attachment 435552
dah...umekosa bahati mkuuuu....
 
Begi lilimsitiri, si unaliona hapo kwenye picha kaliweka mapajani... na hapo kilichomfanya asimame ni baada ya kuwaza kuwa ndani ya hicho kigauni ni bra ilifunika chuchu tuu na vikamba kwa nyuma na kyupi ya kufunga kwa mikanda pembeni.

Halafu ngozi lainiiii imelowa mafuta sijui ya olive sijui yepi basi hapo akili imewaka mikono itue kuanzi kwenye pajaz na iteremke hadi kisimani..... simooooo nimemsaidia kuwaza tuu.
Nasikitika sana kwa kupunguza uchokozi zile mada za jiddah na kula samaki sijui hivi na vile zimepungua sana. Bukheri lakini bibie?
 
Uzembe wako tu mkuu...ungeanza na syle ya kujichekesha chekesha tuu kama mwehu vile...
 
Dah... Pole, kuwa mwanaume ni shida, ila kwa kua sijaona mkia siwezi mpa pointi maana mimi huwa naanza kupima mkiani
 
Wakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake.


Kweli wewe unataabu! Eti mabinti. Huyo mtu na mama yake Bwana! Na uache tabia ya kukodolea macho mali ya mutu utango'lewa macho bila kipooza maumivu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?
Ha ha ha ha ha ha..! hatari sana... kama nini.....? sasa akiona united state of amerika si ndo kwakwakuru kwakaaa..😀
 
Back
Top Bottom