Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Sanaaaa!! Sema wana wivu hatari. Ukikamatwa ukicheat basi kwaheri. Usije ukahangaika hata kuomba msamaha we tembea tuInaonekana ulikula bata sana mkuu
Sanaaaa!! Sema wana wivu hatari. Ukikamatwa ukicheat basi kwaheri. Usije ukahangaika hata kuomba msamaha we tembea tuInaonekana ulikula bata sana mkuu
Hahaha daah mkuu mpira pass hebu nipe pass moja ya ushindi mkuuSanaaaa!! Sema wana wivu hatari. Ukikamatwa ukicheat basi kwaheri. Usije ukahangaika hata kuomba msamaha we tembea tu
Nalo neno mkuuUlipenda nywele zake!
ha ha ha.... bado sana mkuuHahah angalia usiishie kupunwa hela na watoto wa ifm na magogoni mkuu
Ungejieleza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu si ningeitiwa mwizi tena
Kweli kabisa ....ni mchezo mbaya sana sana. ..kuna nini hapo sasa na ni nani kakuruhusu kuweka picha ya huyu binti hapa ?kalisa mwenzio kashakamatwa na polisi kwa kuweka picha za wema mitandaoni shauri yako