mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Ndo ume vunja sheria za mtandai
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha ha ha ha ha ha..! hatari sana... kama nini.....? sasa akiona united state of amerika si ndo kwakwakuru kwakaaa..😀
Mkuu nifanyie manyanga sasa kwa huyo mwenye simu..[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106]Mkuu nifanyie manyanga sasa kwa huyo mwenye simu..
[emoji39][emoji39] [emoji36]Begi lilimsitiri, si unaliona hapo kwenye picha kaliweka mapajani... na hapo kilichomfanya asimame ni baada ya kuwaza kuwa ndani ya hicho kigauni ni bra ilifunika chuchu tuu na vikamba kwa nyuma na kyupi ya kufunga kwa mikanda pembeni.
Halafu ngozi lainiiii imelowa mafuta sijui ya olive sijui yepi basi hapo akili imewaka mikono itue kuanzi kwenye pajaz na iteremke hadi kisimani..... simooooo nimemsaidia kuwaza tuu.
Wakati navuka mishale ya mchana kutoka kigamboni kuelekea posta nilikaa opposite na ma binti wakizungu huku mmoja akiwa busy na iphone yake.
Daah nikataka niombe namba ila kutema mayai kama tony blair nikashindwa maana mtoto alikua anamwaga ung'eng'e si wa nchi hii mpaka nusu nitafute subtitles.... nikaona sio kesi japo nimfotoe nitunze memory kwamba 1day woga wangu ulinikosesha mtoto Mboga saba (ujinga ni kujiita mboga saba wakati zote za majani)!
View attachment 435552
Hahah ni kweli kabsa mkuuDemu wa kizungu akupendage yeye lakini ukijishoboa ww lazima utoke bila bila
Inawezekana akawa mbongo kwa nationality ila si ethnic background mkuu mtoto kitambo anaogea maji ya kwa trumpHuyo anayebofya simu namfahamu, ni mbongo.
Mkuu ni kweli tunaviolate cyber crime act ila sometimes mambo ni magumu mkuu hunabudi tu. Mtoto alikonga nyoyo sanamkuna nini hapo sasa na ni nani kakuruhusu kuweka picha ya huyu binti hapa kalisa mwenzio kashakamatwa na polisi kwa kuweka picha za wema mitandaoni shauri yako
Inawezekana rangi imenichanganya mkuu si unachek mtoto ana rangi ya mtume from dubaiMkuu mbona miye namuona wa kawaida tu au kwa sababu ya rangi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu si ningeitiwa mwizi tenaungemwambia jambo mpokoje simu andika namba jibipu halafu mrudishie
Haha ndio kali zake mkuuNimekubali. Jiite mboga saba kwa mboga za kueleweka
Charlie Oscar Mike Mike Alpha November Delta, thats affirmative....returning to the base now, mission abortedAlpha one....abort the mission and return to base now.
Alitumia mbinu gani mkuuSi kweli ni kujiamini tu. Jamaa yngu kama wiki 3 nyuma kaopoa mholanzi pale Mlimani city mall. Alianzia kumtemea sumu kule nakumatt mpaka mtt akagawa namba.
Hahahah, mkuu we nabii nini? Mbona umebashiri baraba kabisaBegi lilimsitiri, si unaliona hapo kwenye picha kaliweka mapajani... na hapo kilichomfanya asimame ni baada ya kuwaza kuwa ndani ya hicho kigauni ni bra ilifunika chuchu tuu na vikamba kwa nyuma na kyupi ya kufunga kwa mikanda pembeni.
Halafu ngozi lainiiii imelowa mafuta sijui ya olive sijui yepi basi hapo akili imewaka mikono itue kuanzi kwenye pajaz na iteremke hadi kisimani..... simooooo nimemsaidia kuwaza tuu.
True that mkuuTunachangamsha barza tu kuna watu nyundo 20 shuleni wengine nyundo 10 wengine punch ila lugha ndio tia maji tia maji waweza kwenda beach na kukutana na beach boy (kibongobongo )jamaa unakuta aliwaacha shule akajifanya anasubiri meli jamaa wanamwaga ng'eng'e hao inabidi ukae vizuri kwenda nao. Don mwenyewe kafurahisha barza hapa ili jioni iingie ndo maana nami nikamjibu vile.
Ndio hivyo mkuu ndio bas tenadah...umekosa bahati mkuuuu....