Leo katika historia ya soka Tanganyika

Kikosi cha Simba kilikuwa kama ifuatavyo

1. Juma kaseja.
2. Nassor Chollo.
3. Amiri Maftaha.
4. Salum Kapombe *4.
5. Kelvin Yondani.
6.Patric Mafisango #.
7. Uhuru Suleman.
8. Mwinyi kazimoto.
9.Felix Sunzu.
10. Haruna Moshi
11. Emanuel okwi.

Hapa nilikuwa Advance kidato cha Tano
Wafungaji.
Okwi 2.
Kaseja.1.
Mafisango 1.
 
Waonyeshe matokeo ya full time wasije wakasema kwenye hizo dakika 5 zilizobaki walizirudisha goli zote na wakaongezea la ushindi. Si unajua hawa wazee wa kubadili historia.

Halafu miaka 13 ni juzi tu hapo, mtoto wa kike hata manyonyo bado.
Halafu miaka 13 ni juzi tu hapo, mtoto wa kike hata manyonyo bado.πŸ˜‚
 
Wafungaji.
Okwi 2.
Kaseja.1.
Mafisango 1.πŸ’ͺπŸΏπŸ“ŒπŸ”¨βœŒπŸΏ
 
Mbona unawapunguzia idadi, ongeza 1 hapo la felix sunzu, ikamilike idadi ya mkono βœ‹ nunge
 
Na hakuna bango liliwekwa barabaran wala tisht ku printiwa mambo kimya kimya. Siku nlipona yanga wamembeba msomal kwenye kiti kama enzizautuumwa nkajua basiiii kkwishaa akili zao.liile lilikua kafara lakuwafanya mazombi. kawakalia kichwani mpaka mabegani.
 
Simba sio washamba
 
Waonyeshe matokeo ya full time wasije wakasema kwenye hizo dakika 5 zilizobaki walizirudisha goli zote na wakaongezea la ushindi. Si unajua hawa wazee wa kubadili historia.

Halafu miaka 13 ni juzi tu hapo, mtoto wa kike hata manyonyo bado.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afu baada ya hii game, miezi kadhaa mbele Mafisango alipata ajari ya gari pale Keko na kufariki dunia.
RIP PMM 😒😒😒😒
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…