Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
ahahaa acha hizo bnaHongera kwa kuchongesha kitanda kipya...
wala soma uelewe mkuuumenunua kitanda ama vipi?
Hongera yako japokuwa hujafunguka vilivyooo
asanteni sana wadauhongera kwa kupata japo kimoja ingawa bado hujampata huyo mr right
umenunua kitanda ama vipi?
mmenichekesha sana nyie wadauHongera kwa kuchongesha kitanda kipya...
asante mkuuHongera yako japokuwa hujafunguka vilivyooo
Duuh,,Mwenyenzi Mungu yupo na anajibu dua zetu.leo nimepata habari njema sana katika maisha yangu, i can wait to sleep in my new bed with new dreams! i wish my mr right angekuwepo hapa leo.
Kwa wale mnaopigana na maisha msikate tamaa hakuna ajuae kesho, leo ni yako Kesho ni ya Mungu. Alhamdulillah
wanga wengi mamy ila nipo happy sanahongera sana Miss ungefunguka zaidi ili tujue bana
njoo ulaleDuuh,,
Hta sijaewa au ndo akili imechoka,
Sorry miss,unenunua godoro,ktanda,shuka au vp...
Npo ngabu tuuu apa
hongera sanawanga wengi mamy ila nipo happy sana
asante sana ila sifa zote ni kwa Mwenyezi Munguhongera sana