SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 1,878
- 1,692
Hata usipotumia vPN bado utapigwa tu middle finger kupitia android pp nyingine uwekazo kwenye simu yakoHakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger ambayo Ni ngumu ku dedect hata Kama una antivirus natamani nielezee ving Ila mnaosema mnadukuliwa insta, what'sapp na Facebook hiyo Ni moja wapo ya mbinu hizo kwa sababu hai provide privacy wakati uko connected kwenye internet....!
HASARA YA INTERNET YA BURE...!
Taarifa zenu zinauzwa dark web kwa ajili ya kutengeneza fake identy kwa watu ambao Wana kazi maalum mfano majasusi...!
unaweza kufanyiwa blackmail iwapo itagundulika Kama uko vizuri kipesa
Kwa nyie mnao ltumia iPhone msidhani kwamb mko safe iko iko ivi unixsystem inaprovide better securty but Kuna weakness za software ambazo ndizo zinsababishwa watu info ziibiwe mfano
P*g*** hiyo Ni tool ya ki Russia ambayo inaweza intercept whatsapp communication mfano Kuna wasanii wanatumia iPhone lkn video zao zinaenda viral kwa sababu ya vitu Kama ivyo watu wa reverse engineer hapa tunaongea lugha moja
Nitaanzisha Uzi wangu alf nitaitaji volunteer wawili Alf nitatengeza darkweb site yangu kwa ajili ya Hilo ningependa mjionee dunia ilivyo...! Ningependa kumaliza kwa kisema " Everything has price"
Wakuelewa kaelewa nimechoka kuandika....!