Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,484
- 2,892
Ukikosea utapigwa tu, maana hamna namna nyingine!Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"
Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.
Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.
Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.
Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.
Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.
Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.
Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.
Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.
Mungu Ibariki Tanzania
Mimi sikubaliani kabisa kuwepo kwa madalali/watu wa kati/walanguzi.Mkuu japo naona kama unajibu jambo ambalo Bashe amelisema au kulianzisha pamoja na kwamba sijui ni nini na wewe huelezi....naunga mkono wakenya waende kwa wakulima kununua mahindi yao...hao walanguzi wa katikati ni wabaya sana na kuwagandamiza wakulima !!
Wakulima wasionewe. Kama wenye viwanda wanauza mazao yao mahali popote na kwa yeyote, na wakulima nao wawe na uhuru huo huo kwenye mazao yao.Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"
Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.
Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.
Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.
Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.
Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.
Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.
Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.
Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.
Mungu Ibariki Tanzania
Hii nakubaliana na wewe.Kwa hiyo kama mtu anataka kula kande huko kenya inakuaje? Hata wao wanafuga na wanashida na pumba vile vile acha roho mbaya.
Wanabodi,

Ni sawa, mzee Msekwa kwenye muktadha wa nyaraka alisema unaposhauri, sio sawa na kutoa amri. Mtu mwenye asie na mtoto wa kike hana power ya ku-dictate suala la mahari kwa kuwa hana mtoto wa kike.Wakulima wasionewe. Kama wenye viwanda wanauza mazao yao mahali popote na kwa yeyote, na wakulima nao wawe na uhuru huo huo kwenye mazao yao.
Sasa hivi waliokuwa wakulima wakubwa na wa kati, wameacha kulima mazao ya chakula kutokana na na ukiritmba wa serikali katika kuweka masharti mengi wakati wa kuuza.
Mkulima hawakusaidiwa wakati wa kulima, kwa nini wawekewe masharti wakati wa kuuza?
Kama tunataka kukuza kilimo, tuache wakulima wawe huru kuuza mazao yao kwa yeyote, mahali popote na kwa wakati wowote. Kukiwa na uhuru wa kuuza, kutakuwepo na bei nzuri, kukiwa na bei nzuri, watu wengi na makampuni wataenda kufanya kazi za kilimo. Na ndipo hapo tutaweza kukifanya kilimo chetu kuwa cha kibiashara.
Namwunga mkono Bashe kwa 100%. Wakenya, Wamarekani, Wazimbabwe, wahindi, Wasudani, n.k; wote wakitaka kwenda kununua mazao kwa wakulima, kwa wafanyabiashara wa kati au wafanyabiashara wakubwa, wawe huru.
Tuondokane na mawazo ya kizamani ya kuweka vizuizi kwenye masuala ya uchumi.
...Mkulima hohehahe, anayepata tani 2 mpaka 3 kwa mwaka atanufaikaje na mnyororo wa thamani?....anawezaje kununua mashine za kusagia na vifungashio kwa ajili ya package?....mkulima always hanufaiki na jasho lake labda madalali. Labda uwekwe utaratibu ambao utamgusa mkulima hata mwenye gunia chache, mathalani, kuwepo na taasisi huru ya wafanyabiashara-wakulima ambao watapanga bei nzuri kwa mazao yao. Halafu hiyo taasisi ndio ifungue mitambo(mashine) ya kusaga kila mkoa au wilaya au hata kijiji ili kuwarahisishia usafiri wakulima. Hakuna jambo baya kama kumzuia mkulima kuuza mazao yake kidogo kisa mnyororo wa thamani. Sisi tuliokulia kwenye familia za kilimaji tumeonja adha hii.
Wanabodi,
Naomba ku-declare interest kuwa sina ugomvi binafsi na Naibu Waziri Hussein Bashe.
Nimekuwa namkubali kwa namna ambavyo alikuwa aki-analyse dhana ya mnyororo wa thamani hususan kwenye sekta ya KILIMO kwa michango yake "mjengoni"
Nadhani, sio sawa kutoa ruhusa kwa Wakenya kuingia kwenda kununua mahidi kwa wakulima. Pengine hatuja-set regulations za namna ya kufanya biashara ya mazao mchanganyiko. Jambo hili litutake tujenge mfumo rasmi wa manunuzi ya mazao mchanganyiko. Sio waje kwenda kununua mahindi moja kwa moja kwa wakulima.
Intermediaries wana sehemu yake kwenye biashara kama watasajiliwa. Kwenye bima kuna Brokers, na agents kama intermediaries. Hata bank ni intermediary ambae tukiweka mfumo bora wa mauzo banks zitakuwa na mifumo rasmi ya kugusa wakulima na TRA ana-access ya kodi kuoitia wigo utakaopanuka.
Huwezi kwenda Marekani ukanunua maziwa kwa wakulima then ukapaleka kiwandani wakufanyie packaging halafu usafirishe. Haiko hivyo.
Mhe. Naibu Waziri you can do the best kwa kushirikiana na Mhe. Hasunga na mtengeneza mifumo rasmi ili mahindi yaunuliwe, yakobolewe/kusagwa moja kwa moja na Kenya asubiri mahindi kule kwao. Ikiwa hivyo kwa haraka haraka itaongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania kwa mfumo wa mauzo, ulinzi kwenye maghala, bima za hifadhi kwenye maghala na vyanzo vya ajira kwa kujenga mfumo.
Kama ambavyokwenye madini (hatuuzi raw kwa wageni ili wakachakate makinikia kwenye refineries kwa wageni) na kwenye mahindi tuwe na mfumo wa soko maalum la finished products.
Tukisaga unga kwetu na ku-package sisi ni vema pia tuka-control logistics. Walau sio mbaya Kenya apokee mzigo mpakani kwake ili Magari ya Watanzania yahusike kusafirisha unga uliosindikwa. Hii ina akisi kutoa ajira na kuongeza wigo wa mzunguko nchini hali kadhalika kodi.
Kama ambavyo niliwahi kushauri hapa JF wakati wa zoezi la kupekeka mahindi Zimbabwe na Namibia; tunaposema tunajenga Tanzania ya viwanda kwa kuongeza thamani kwenye mazao ghafi na kupata tija kwa kuuza packaged final product, sasa tufanye kwa vitendo.
Mhe. Hasunga hakuona hiyo fursa, naomba pia mhe Bashe usianze vibaya.
Natoa ushauri mapema kabla mambo hayajaharibika. Kama mtasonga mbele na maamuzi hatuna namna ya kuwazuia ila tuna jukumu la kuwashauri namna gani mfanye vyema. Mnachokifanya kiwe na taswira ya kujenga uchumi na kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda.
Mungu Ibariki Tanzania
Amekusoma safi sanaWanabodi,

NI msemmaji mzuri, alipangilia na kufikisha ujumbe ipasavyo. mengine tuwaachie wachumi wakWanabodi,