Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,484
- 2,892
- Thread starter
- #21
Hata mimi ni mkulima. Kuna deal kadhaa za mauzo ya nje nishawahi kuzipata. Soko halikuwa tayari na halitakuwa tayari kununua gunia 100. Wanataka tani kadhaa, na kila mwezi mzigo unaingia sokoni.Mkuu ww unatupangia sisi wakulima tumuuzie nani mazao yetu wakati ww uko ofisini? Huo ukiritimba hatutaki, unataka kupangiwa mtu wa kumuuzia kalime na ww usubiri huo ukiritimba. Tunataka mteja afike anunue mazao yetu na atulipe hapo hapo. Sio wakulima tunakufa kwa umasikini nyie wenye vitambi huko maofisini mnajifanya kupanga utaratibu.
Naelewa namna gani ukiwa unauza peke yako gunia 10 (ambazo zina kg 100 kila moja)una-negotiate katika point of weakness.
Ni tofauti mkiwa wakulima 2000 mna magunia ya unga packaged in 50 kgs, 25kgs na 5kgs.
Kenya wana culture ya kununua vitu supermakets na small groceries. Tukiwa na mzigo ukaingia made in Tz huo ndiyo mpango mzima.
Ila kwa kuwa tumeamua kila mmoja auze peke yake, basi yote ni maamuzi na Naibu Waziri katoa maelekezo. Mimi sina mtoto wa kike na sina nguvu ya ku-negotiate mahari