Inaonyeshea hizi habari zinawaumaHasira zinatoka wapi mkuu? Wakati jeshi lenu tukufu limeishinda Marekani? Hebu tuambie lini Iran itaenda Israel kuikomboa ardhi Takatifu ya Wapalestina?
chief, acha kusikiliza propaganda majalala.Kwani vile visima vya mafuta vya Siria wanafanya nini unahisi ? Na serikali ya Siria ishawaambia waondoke !!!
Sawa black-mwaajemi wa kwa mtogole. Umefuga na ndevu ujifananishe na wao. Nilijua utakuwa wa kwanza kwanza pale juu. Vipi vikitokea vipigo huko kwenu wenyewe kwa wenyewe,mnaanza tena kung'ang'aniana ndege kwenda U.S.A?
Hee! Umeanza kuporomosha matusi.Ulitaka wamuibe mamayako ??
Nimemuuliza swaliHee! Umeanza kuporomosha matusi.
chief, acha kusikiliza propaganda majalala.
hakuna kampuni ya kigen ndani ya nchi yoyote inaendesha shughuli zake bila mkabata na serikali.
habari kuwa wanaiba mafuta ni propaganda tu kama za kuibiwa makinikia.
Syria war: Who benefits from its oil production?
The US is at the centre of an international row over claims to a slice of Syria's oil revenues.www.bbc.com
Trump Is 'Fixated' On Syria's Oil Fields. Here's What's Going On With Them
Syria's oil fields once served as the economic engine powering ISIStime.com
Hawa wanosema , je hawajui wakisemacho ?