Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Dec 25, 2015 #2 Itakuwa Moshi hapo, huko nyuma kutakuwa na sufuria la mchemsho and the like.
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,772 12,174 Dec 25, 2015 #3 Hizo ni kreti mbili tu, iwapo mmoja anaweza maliza chupa 12, sioni cha ajabu apo, ni tabia za kiapolo na ki-miner.
Hizo ni kreti mbili tu, iwapo mmoja anaweza maliza chupa 12, sioni cha ajabu apo, ni tabia za kiapolo na ki-miner.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,849 730,380 Dec 25, 2015 Thread starter #4 Chapa Nalo Jr said: Itakuwa Moshi hapo, huko nyuma kutakuwa na sufuria la mchemsho and the like. Click to expand... Muda huu ni ngumu sana kumkuta mchagga yuko humu
Chapa Nalo Jr said: Itakuwa Moshi hapo, huko nyuma kutakuwa na sufuria la mchemsho and the like. Click to expand... Muda huu ni ngumu sana kumkuta mchagga yuko humu
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,849 730,380 Dec 25, 2015 Thread starter #5 KakaJambazi said: Hizo ni kreti mbili tu, iwapo mmoja anaweza maliza chupa 12, sioni cha ajabu apo, ni tabia za kiapolo na ki-miner. Click to expand... Ni zaidi ya kreti nne
KakaJambazi said: Hizo ni kreti mbili tu, iwapo mmoja anaweza maliza chupa 12, sioni cha ajabu apo, ni tabia za kiapolo na ki-miner. Click to expand... Ni zaidi ya kreti nne
mtz daima JF-Expert Member Apr 15, 2015 1,561 579 Dec 25, 2015 #6 Dah hii sasa sifa ndo maana wanaongoza kwa maandamano yaleeeee
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,403 35,084 Dec 25, 2015 #7 chupa tano kwanza nichangamshe akili
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,849 730,380 Dec 25, 2015 Thread starter #8 Th Name said: chupa tano kwanza nichangamshe akili Click to expand... Duu tano kwanza????
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,403 35,084 Dec 25, 2015 #9 mshana jr said: Duu tano kwanza???? Click to expand... Tano tu nyingine usiku
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,320 18,838 Dec 25, 2015 #10 mshana jr said: Muda huu ni ngumu sana kumkuta mchagga yuko humu Click to expand... Una uhakika.......?.....
mshana jr said: Muda huu ni ngumu sana kumkuta mchagga yuko humu Click to expand... Una uhakika.......?.....
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,849 730,380 Dec 25, 2015 Thread starter #11 Preta said: Una uhakika.......?..... Click to expand... Hahaha nilimaanisha muda ule
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,455 4,388 Dec 25, 2015 #12 mshana jr kweli ww noma. uzipata wapi hz picha!. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,772 12,174 Dec 26, 2015 #14 mshana jr said: Ni zaidi ya kreti nne Click to expand... Ila inawezekana muhudumu akaja kuhesabu chupa zilizofunguliwa, na zingine kurudishwa. Hizo ni kwa ajili ya picha na ushamba.
mshana jr said: Ni zaidi ya kreti nne Click to expand... Ila inawezekana muhudumu akaja kuhesabu chupa zilizofunguliwa, na zingine kurudishwa. Hizo ni kwa ajili ya picha na ushamba.
gnassingbe JF-Expert Member Jun 14, 2015 4,826 3,574 Dec 26, 2015 #15 Halooo!Watu hawataki kusumbua wahudumu na kuchomekeana bili kreti kreti ndo mpango duuuuuuuuu!
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Dec 26, 2015 #16 Na ma selfee ya kumwaga Attachments 1451132480041.jpg 11.4 KB · Views: 247
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,321 50,541 Dec 26, 2015 #17 Red Scorpion said: Na ma selfee ya kumwaga Click to expand... Hahahaha red scorpion hio ni noma aiseee
Red Scorpion said: Na ma selfee ya kumwaga Click to expand... Hahahaha red scorpion hio ni noma aiseee