Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,738
Warembo wa peponi wanakuwaje hao ๐Sema ume mzimakia mzeee, na ni mrembo kinoma mzee kama wale warembo wa peponi.. ๐
Ni ego tu zinazo watesa wadada wengi. Hasa Africa wengi wanaringia makebo. Wazungu hawanaga huo ujingaLakini pia kuna dada niliwahi kupewa namba zake Kwa sababu za kibiashara nikawa nachat naye WhatsApp alikuwa anaishi Norway,Kwanza alikuwa anajitambua kwasababu kwenye chatting zetu alionesha yupo bright vibaya mno hata siku ananiambia nipo bongo nilivyomuona kweli alireflect
๐ ๐ urembo na uzuri wao haulezeki mkuu, hadi ufike peponi ujionee mwenyeweWarembo wa peponi wanakuwaje hao ๐
Duh ๐๐ ๐ urembo na uzuri wao haulezeki mkuu, hadi ufike peponi ujionee mwenyewe
Sidhani kama ndo lengo mama la mleta mada huyo amemzimikia dada wa watuNina miaka 10 JF sijawahi kuona umuhimu mnaoupa namna hiyo kitu kinaitwa LIKES!
Wanaoshabikia likes naona wana kaupuuzi fulani
Clearly kaongelea likesSidhani kama ndo lengo mama la mleta mada huyo amemzimikia dada wa watu
Daah ๐ mimi tena? AiseeClearly kaongelea likes
Lengo lingine sijui ama labda hii nayo ni ID yako nyingine?
Ebo! ๐Ni ego tu zinazo watesa wadada wengi. Hasa Africa wengi wanaingia makebo. Wazungu hawanaga huo ujinga
Kuna huyo na huyu binti kiziwi hawa wote hawanaga baya kabisa ni watu poa sana
i love you more mi amor๐๐๐Nawapenda hawa wawili leo dada na masai dada