loulla
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 125
- 92
habari, nlikua nataka kununua hii pc ila katika kugugo nmekutana na kukatishwa tamaa kwingi, ngependa kujua kutoka humu kwa aliewai kuitumia, je ni nzuri, na inafaa kwa matumizi ya chuo kwa IT? na je hii pc ndio chromebook, na kama hivyo unaweza kubadili OS kua windows na isilete shida?
Msaada tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app