GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Baada ya serikali kutumia fedha nyingi (3+billions) Igunga waambie serikali ikalipe mishahara ya wafanyakzi ambao mpaka sasa hwajalipwa.
mkuu tatizo lako ulikimbia somo hisabati darasa la tano - mle kuna kitu kinaitwa statistics. kwa hiyo wadanganye wenzako mliokuwa mnagawa nao mahindi kwa wapiga kura wenye njaa wakati wa kampeni - hao watakuelewa 'cause mpo level moja.Nilikuwa napitia maoni ya wana JF kuhusiana na matokeo ya igunga ambayo yamekipa ushindi chama cha ccm. Wengi wa wana chadema wanajipa moyo kuwa chama kilikuwa na hakina kitu na hivi sasa kimepata kura. Huu uchaguzi haukuwa wakutafuta idadi ya kura za vyama bali ni mbunge. Na kama ingekuwa kujua idadi ya kura mgetafuta njia zingine za kujua hilo.
Kwa maana hiyo basi, mambo yakusema tumepata kura halikuwa lengo lake, lengo nikumpata mbunge. Kama hukumpata mbunge ina maana hukutimiza lengo lako na huna sababu yakujisifu. Hizo ni kauli za kuliwazana tu humu ndani na kutiana moyo (kujifariji). Kubalini mmeshindwa kwenye uchaguzi huru na wa haki, jipangeni upya.
Nilikuwa napitia maoni ya wana JF kuhusiana na matokeo ya igunga ambayo yamekipa ushindi chama cha ccm. Wengi wa wana chadema wanajipa moyo kuwa chama kilikuwa na hakina kitu na hivi sasa kimepata kura. Huu uchaguzi haukuwa wakutafuta idadi ya kura za vyama bali ni mbunge. Na kama ingekuwa kujua idadi ya kura mgetafuta njia zingine za kujua hilo.
Kwa maana hiyo basi, mambo yakusema tumepata kura halikuwa lengo lake, lengo nikumpata mbunge. Kama hukumpata mbunge ina maana hukutimiza lengo lako na huna sababu yakujisifu. Hizo ni kauli za kuliwazana tu humu ndani na kutiana moyo (kujifariji). Kubalini mmeshindwa kwenye uchaguzi huru na wa haki, jipangeni upya.
Ni kweli wameshindwa wanajifariji kua wamepata kura nyingi,aah wapi wangepata kura nyingi si wangeshinda?mlienda ktk ushindani wakutafuta ubunge mmekosa kubalini kushindwa,ila sio mbay cdm mkijifariji hivyo kama ndio mnaona inawapunguzia machungu ok endeleeni kujifariji,HAYA MMEPATA KURA NYINGI EEHH! Toto achen kulia bhaana.
Kila unachokileta hapa JF ni majitaka tu,nakushauru mambo yafuatayo kama mtanzania mwenzagu....
- Acha kupost threads wala kuchangia uwe unasoma mawazo ya great thinkers....unatia aibu
- Ukapate councelling kwa madaktari wa akili....
- Unaweza ukawa na pepo wa kukataliwa kuna Mzee wa upako na Mbunge wenu Mama Rwakatare wanaweza kukuombea...
- Acha pupa tulia,tafakari,chunguza ndio ufanye jambo.....
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzjamaa wamechanganyikiwa sana na siku ya matokeo walizimia baadhi ya viongozi wao kwa mshtuko. Na wao wamekiri humu jf kuwa hv sasa akili zao haziko sawa baada ya dhoruba ya igunga, wamechanganyikiwa !
mkuu tatizo lako ulikimbia somo hisabati darasa la tano - mle kuna kitu kinaitwa statistics. kwa hiyo wadanganye wenzako mliokuwa mnagawa nao mahindi kwa wapiga kura wenye njaa wakati wa kampeni - hao watakuelewa 'cause mpo level moja.
Wale wale walio kiri kuchanganyikiwa na dhoruba la igunga mpaka kuzimia kwa wanachama + viongozi wao . Tunajua imewauma sana kukosa igunga ila kuweni na subira na uvumilivu mtaipata nchi 3025. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
BWANA FUSO Takwimu unazosema leo hii baada ya uchaguzi hazisaidii kitu. CDM mmekuwa wa pili haijalishi wa kwanza kawashinda kwa kura ngapi. Jipangeni upya. Hizi danganya toto za mabosi wenu waambieni tunataka kushinda. Visingizio vya mahindi havina nafasi hapa. yapo maeneo mengi hayakuwa na uchaguzi wamepata mahindi. Musoma wamepata mahindi. Ulitaka watu wafe kwa njaa tusubiri uchaguzi uishe?mkuu tatizo lako ulikimbia somo hisabati darasa la tano - mle kuna kitu kinaitwa statistics. kwa hiyo wadanganye wenzako mliokuwa mnagawa nao mahindi kwa wapiga kura wenye njaa wakati wa kampeni - hao watakuelewa 'cause mpo level moja.
umedumazwa akili na ccm wewe pumbav kweli unapost vi2 vya kipumbav,haya nambie ruzuku inapatikana vipi?.
Bakwata ndio walioshinda Igunda!
RUZUKU? unamuuliza nanii? Kamuulize katibu wako atakujibu. kama mmetumia milioni 400 mmekwisha. hiyo ni ruzukum ya miezi 4. mtalala njaa mpaka mtakoma. Mnafikiria kumchangia kashindye kupitisha bakuli. looh.umedumazwa akili na ccm wewe pumbav kweli unapost vi2 vya kipumbav,haya nambie ruzuku inapatikana vipi?.
nilikuwa napita kumbe hii thread kaianzisha huyu tia maji tia maji!