GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
- Thread starter
- #21
Nadhani sisi watanzania tunaishi katika Tanzani tofauti sana na nadhani kuna tanzania mbili-ya wanaokula kwa ccm (3%) na wanaokula kwa jasho lao (97%). Hivi kwa hali ilivyo leo, unaweza kushabikia uwezo wa CCM kututoa katika hali hii tuliyonayo? Naomba wana JF tuwe wakweli na si ushabiki tuu.
Ngoja nikaangalie kama mshahara wangu wa mwezi uliopita kama umeingia benki.
Mwalimu.
Njoo mie nikuajiri ntakupa mshahara uutakao