Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Kipindi najiunga ujana mwingi lengo ilikua ni kuburuza bebe kali.... nilifanikisha.
Asante
Asante
Ni kweli mkuuUmeeleweka Mkuu.
Connection hua zinaanzia mbali sana, na usiweke mbele connection au maslahi Yako Kila unapokutana na mtu, itatokea yenyewe. Kuwa binadamu kwanza, mtaendana na mtu Kisha katika kufahamiana zaidi ndio mambo mengine yatajitokeza. Kumbuka inachukua muda mtu kukyamini hadi akushirikushe mambo ya muhimu hasa Kwa enzi hizi zilizojaa ulaghai mwingi.
Walau wewe umekuwa honest mkuu.Kipindi najiunga ujana mwingi lengo ilikua ni kuburuza bebe kali.... nilifanikisha.
Asante
Sahivi ni kataa ndoanilijiunga kutafuta mpenzi, kitambo lakini
nikajikuta member mazima