Duuuuh aisee ila usijionyeshe waziwazi maana hapa Tanzania sheria haziruhusu mambo hayo
Wadau walisema niendelee na jina hilihili maana ndilo wamelizoeaHa ha haaa. Vipi lile jina lako la Mficha Sukari unaanza kulitumia lini?
Wadau walisema niendelee na jina hilihili maana ndilo wamelizoea
Hivi umadhani sehemu kama Congo, pale luna silaha yoyotw ya maana inatumika,ile vita ni vile vifaa vilivyokuwa outdated ndio vinatupwa pale,ndio maana inakuwa ya kuviziana.Hamna technology yoyote ya maana pale,iko kienyeji mno,ukianza na Maimai mpaka kule kwa Kagame,yaani imekaa kiusanii mno.Vita ni biashara, mimi natengeneza zana za kivita aina fulani, na wewe unatengeneza aina fulani, tunatengeneza mgogoro sehemu fulani mfano DRC tunauza silaha.
Hoja yako ya kwanza inathibitisha kuwa vita ni matokeo ya udhaifu wa wanadamu katika kutatua migogoro yao.kwa sasa hivi vita hutokea kwa sababu yingi kama vile
1. pale maelewano yanashindwa kufikiwa kwa reason
2. kwa ajili ya tamaa ya kupata mali na nguvu ya kitawala, mfano huku Africa vita nyingi husababishwa na tamaa kuwa na nguvu ya kiutawala kati ya makundi yenye nguvu, na frustration za wale wanaokandamizwa
Sawa mkuu, kumbe na kuuana kote jambo la msingi ni ufahari tu,Ubinafsi na ufahari
Maana vita huanzishwa ili kupata "kitu" kwa kimdhuru mwingine(ama kumtokomeza kabisa), na baada ya vita kuna ushindi, alieshinda hujisikia fahari sana, kwamba yeye ni zaidi ya mwingine.
mkuu kuna watu kutokana na tamaa zao, ego zao au pride zao hawataki kutawaliwa na watu wa jamii nyingineHoja yako ya kwanza inathibitisha kuwa vita ni matokeo ya udhaifu wa wanadamu katika kutatua migogoro yao.
Hoja yako ya pili inathibitisha kuwa lengo la vita ni kupata haki iliyominywa na wachache kwa hiyo vita ni faida.
Vita ni vita tu mkuu, na silaha hizo zinanunuliwa, mfano RPG, LMG, AK47, SMG, Artillery motors, n.k, japo sio modernised lakini waasi wanazimiliki hivyo kuwapokonya kizembe siyo rahisi lazima vita vipiganwe.Hivi umadhani sehemu kama Congo, pale luna silaha yoyotw ya maana inatumika,ile vita ni vile vifaa vilivyokuwa outdated ndio vinatupwa pale,ndio maana inakuwa ya kuviziana.Hamna technology yoyote ya maana pale,iko kienyeji mno,ukianza na Maimai mpaka kule kwa Kagame,yaani imekaa kiusanii mno.
Kuna kaukweli fulani maana haiwezekani serikali ya Congo drc ikashindwa kuwaangamiza hao waasi mara moja tu, hapo UN wanalipa maelfu ya maasikari wapatao 50,000+ kutoka nchi kibao duniani, kwa hiyo hiyo kitu ni mchongo wenye mlolongo mrefu, hapo ni pa kupigia mkwanja, kuanzia kabila mwenyewe, mataifa ya magharibi, na malipo kwa UN... Lakini bila huruma watu wanakufa kwa njaa na maradhi.Isambe kama umeifuatilia kwa kina vita ya Congo DRC inatengenezwa, pale inapokaribia kuisha lazima itokee incidence ya kutengenezwa. Kwa mfano mwaka jana Kabila alipoona anatakiwa aachie ngazi akaanzisha utaratibu wa sensa, na kwakua wananchi walikua wakipinga suala layy kuendelea kukaa madarakani ,ikabidi vikundi vya waasi viwe financed na impowered na watu kutoka ktk serikali ya Kabila(North Kivu - Kamanda wa Kombania aliasi na akaingia na kikundi + vifaa msituni na inasemekana alienda kuongeza nguvu kwa ADF NALU).. Hiyo ni sehemu ya usanii unaochezwa ili kuofanya vita iwepo, na ukiichimbs kwa ungpdani unakuta kuna mkono wa France na Belgium ktk vita ile, na chanzo kikubwa ni utajiri wa madini na mazao ya misitu yanayopatikana Congo DRC..
Marekani kuvamia nchi mbalimbali unazungumziaje mkuu japo ya marekani vita vyake huwa vimepangwa, lakini dhana yake ni ubabe wa kijeshiWanasiasa ndio huanzisha majanga ya vita, mwananchi wa kawaida hawezi kujua kuwa vita huanzishwa ili watu waneemeke na familia zao. Tatizo ni hii kinga kwa viongozi wakubwa, its shame kwakweli haya mambo yapo Africa tu.
... Tehetehe[emoji51] [emoji51] [emoji51] hapo kwenye biashara ya mkaa umenichekesha mkuu, nikikumbuka jinsi asikari zaidi ya 100> wa Kenya walishambuliwa wakiuza mkaa wakati wa doria, vijana wa al shabaabu wakafanya a successful ambush..Turudi kwa majirani zetu, wameingia kwenye vita na Al shabab ni kwa7bu serikali ya Kenya ilikubali kuweka US military base nchini kwao, lkn je mwananchi wa kawaida anafaidika nn na hiyo US base?Serikali inafaidika kuanzia kwnye mahusiano ya kimataifa mpaka kiuchumi ila Alshabab nao pia wanawashambulia wakenya kulipa dhambi ya uasi waliofanyiana. Miaka ya nyuma waasi wa Somalia walikua wakisaidiana na askari wa Kenya(biashara ya mkaa) ktk kulipisha pesa ktk vivuko mpakani mwao.
Ukienda Congo Mzee Kabila (baba) alikua porini na Jamal Makulu(ADF Founder) na walisaidiana ktk vita mpaka Kabila baba akaingia madarakani