Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,608
- 59,731
Vita vya kidini huanza muumini wa upande mmoja kuidharau imani ya mwenziwe. Imani ni sawa na ugonjwa wa moyo ukiutonesha kuwa tayari kwa pressure.Sawa mkuu, vp lakini kuhusu vita vya kidini vimekaaje.
Lengo la vita?Chanzo cha vita ni kuonyesha ubabe
Tunaambiwa na walimu wetu wa kiroho kuwa malaika Michael ndio jeneral mkuu huko mbinguni.Vita roho ya shetani, mara nyingi vyanzo vya vita bingo ni maswala na maslahi ya kidunia, vyanzo vya vita vingi ni havina maana Katika.maslahi mapana katika roho ya Umungu
Mmmh wewe utakuwa keMkuu Avatar yako huo mnara nimeupenda! Ilikua vita ya wapi hyo walipoeka huo mnara?
Hapo kaz tuMkuu Avatar yako huo mnara nimeupenda! Ilikua vita ya wapi hyo walipoeka huo mnara?
Mmmh wewe utakuwa ke
Duuuuh aisee ila usijionyeshe waziwazi maana hapa Tanzania sheria haziruhusu mambo hayoHamna aisee, Mimi ni both ke na me.