Lengo la LATRA ni nini hasa kwa hapa Dar?

hesabu900

Member
Apr 18, 2017
78
62
Wako busy kukamata magari ya usafiri. Hivi ndio iliundwa kwa lengo hilo. Wako busy kuchukua rushwa. Hivi sasa ni ngumu kujua maana kila mtu anabugudhi wafanyabiashara ya kusafirisha watu Dar.

Kifupi polisi anakamata gari, Trafiki anakamata gari, LATRA wanakamata gari.

Serikali, Mkuu wa mkoa Dar tafadhali lindeni wafanyabiashara.
 
Maana. Wako busy kukamata magari ya usafiri. Hivi ndio iliundwa kwa lengo hilo. Wako busy kuchukua rushwa.... Hivi sasa ni ngumu kujua maana kila mtu anabugudhi wafanyabiashara ya kusafirisha watu dar. Kifupi polisi a akamatwa gari... Trafiki a akamata gari... Latra wanakamata gari. Serikali... Mkuu wa mkoa Dar tafadhali lindeni wafanyabiashara
Haieleweki tofauti ya latra na traffic police. Ni kama hizi taasisi ni maalum kukamata magari. Bado majembe, bado tra ni kama nchi ipo kwenye laanatul
 
Wako busy kukamata magari ya usafiri. Hivi ndio iliundwa kwa lengo hilo. Wako busy kuchukua rushwa. Hivi sasa ni ngumu kujua maana kila mtu anabugudhi wafanyabiashara ya kusafirisha watu Dar.

Kifupi polisi anakamata gari, Trafiki anakamata gari, Latra wanakamata gari.

Serikali, Mkuu wa mkoa Dar tafadhali lindeni wafanyabiashara.
Common sense ni tatizo, kwa nini wasifanye kama tunavyolipia road licence? Yaani I wish Dkt Magufuli angekuwa mkurugenzi latra. Yaani hawajiongezi
 
Back
Top Bottom