Lengo KUU la VITAMBULISHO vya URAIA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lengo KUU la VITAMBULISHO vya URAIA...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 27, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NIDA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga kura ili kujua hasa vituo vya kuigia kura. Wameshakabidhiwa nakala za Daftari la Kudumu.Hujiulizi kwanini vitambulisho wapewe tu miaka 18 na kuendelea? CHADEMA watatoa sera,CCM wataiba kura...
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Yana mwisho tu. time will tell.
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  alaf wametoa muda mchache sana, yaani mwisho ni 31 July! dah!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mbona huku mikoani bado kabisa zoezi halijaanza
   
 5. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ukihoji sana utapelekwa mabwepande, that is how the dictatorship type of government leads
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Nimeshajiandikisha, na baadaye nikajiuliza, hapa wanataka kutengeneza vitambulisho vya uraia au UKAAZI?
   
 7. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Really?
   
Loading...