Nyamkomogi
Member
- Mar 14, 2014
- 25
- 7
Jamani habarini za leo.
Naombeni mnisaidie hasa lengo la kutoa mahari kwao mwanamke ili umchukue ni nini hasa?
Ni shukrani kwa wazazi wa mwanamke au ni malipo ili kumilikishwa mtoto wao kwako?
Nakama ni malipo ili umumiliki binti yao sasa je inakuwaje muwe na haki sawa wakati wewe mwanaume ndo umegalimika hadi umumiliki?
Na kama ni shukrani kwa wazazi wa mwanamke inakuwaje wao wakupangie kiasi wanachotaka na kama huna wanakupa nafasi ya kujitetea hadi mnakubaliana? jamani nisaidieni ni nini mantiki ya kutoa mahali ili umpate mwanamke wa kuishi nae.
Karibuni.