Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

Ni kijana muovu aliyepewa madaraka na rais aliyekuwa muovu. Vijana wa aina hii wengi wamepata nguvu na kiburi sana wakati wa Magufuli, kwakuwa waliweza kuwafanyia cdm unyama na ukatili wa wazi. Ifahamike kuwa Magufuli alikuwa na chuki ya wazi na cdm, hivyo yoyote aliyewafanyia udhalimu cdm alikuwa ni kiongozi mzuri kwake. Sabaya, Makonda, Jerry Muro, Ally Happy, Mnyeti nk, ni baadhi tu ya viongozi waliojipatia sifa mbaya kwa umma, lakini waliopendwa sana na Magufuli kwani alikuwa muovu mwenzao.
 
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.
Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU MCHAGA WA NAMNA GANI?

Sabaya hakuwa tofauti na jambazi, wa kimeru, ambaye alitumia cheo chake kuibia watu kwa nguvu, tena kwa kufuatana na mabaunsa wake na kutaka fedha kwa nguvu kwa wananchi wa Wilaya ya Hai. Kijana mpuuzi sana, St. John's ya Dodoma kamaliza pale na kapata almost disco, alipata matokeo mabovu sana, almost type ya Makonda
 
Kesi ilikua inaendelea mahakamani then jiwe akamteua u-DC,mpk hapo nadhani unaelewa ni ujumbe gani jiwe alikua anatuma kwa mahakama.
Jamaa akashinda kesi kilaini tu.
Ole Sabaya aligushi na kuchezea Serikali hayupo TISS
na hakuna Kitengo cha UNDER COVER
MWENDAZAKE naye alikua kile kitokeacho kuudhi baadhi ya watu ndio anakikumbatia
Malima mtoto wa Kighoma leo ni Mkuu wa Mkoa wa Mara alimgomea tu askari aliyefyatua risasi hewani akapelekwa Mahakamani akachomolewa hapo kupewa Mkoa
Makonda alibeba tuhuma za Warioba akaambulia ukuu wa Wilaya kwa JK mwisho mwendazake akampa Mkoa
CV za Sabaya zote toka akisumbua UVCCM Mkoa ni tabia za CHAWA
CHAWA anajitokeza mahali mmetulia anakuja chafua kwa taharuki
CV yake Sabaya ni Uongo mtupi kafika mwisho Mh Mpango VP hawezi fanya kazi na watu wa namna hii
 
afisa kipenyo hujipenyeza mkuu
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
1621075638254.png

TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM:
S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
SOMA HAPA tena
 
Ni kijana muovu aliyepewa madaraka na rais aliyekuwa muovu. Vijana wa aina hii wengi wamepata nguvu na kiburi sana wakati wa Magufuli, kwakuwa waliweza kuwafanyia cdm unyama na ukatili wa wazi. Ifahamike kuwa Magufuli alikuwa na chuki ya wazi na cdm, hivyo yoyote aliyewafanyia udhalimu cdm alikuwa ni kiongozi mzuri kwake. Sabaya, Makonda, Jerry Muro, Ally Happy, Mnyeti nk, ni baadhi tu ya viongozi waliojipatia sifa mbaya kwa umma, lakini waliopendwa sana na Magufuli kwani alikuwa muovu mwenzao.
Yaani jiwe lingekuwa hai... Saa hizi wangekuwa wanakutafuta wakubinye vidole vya mikono
 
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
View attachment 1785883

TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM:
S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
SOMA HAPA tena
Hajazaliwa 1980 huyu mbwa, huyu ni wa 82/83-84. Ila ni mjinga tu ameshindwa kutumia fursa alizozipata kwa wakati mfupi. Mjinga sana
 
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.

Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU MCHAGA WA NAMNA GANI?
Umeuliza kinafiki lakini nadhani majibu umeyapata
 
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
View attachment 1785883

TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM:
S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
SOMA HAPA tena
Ni kibaka n tapeli mzoefu toka uvccm
 
Ni kibaka n tapeli mzoefu toka uvccm
yaani huyu jamaa alivamia Wilaya zaidi ya 4 na kuwaumiza watu wake kwa waume, Hai, Meru, Simanjiro mpaka Arusha Mjini, wanalia kwa ajili ya madhara yake
kuna Mama hapa anataka ammeze kabisa
 
Back
Top Bottom