Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Hakuna mwanasiasa mnafiki na mwenye nyodo kama lembeli. Inawezekana amehisi chama chake hakiwezi hata kudiriki kumpitisha ndiyo maana ameanza kuhaha.
 
Nami nilimsikia akisema hayo maneno kupitia ITV. Kimsingi huyu baba yuko vizuri. Mi namkubali sana. Akienda chama chochote lazima atarudi bungeni
 
Ndo hao sasa miongoni mwa wale40 wa zito,sasa mshaanza kuamini maneno ya zito anamaanisha eeh
 
alichokasirika lembeli alitaka kuuza hifadhi ya katavi kwa makaburu kinyemela bila kuishirikisha serikali yeye na nyarandu wakastukiwa
 
CHADEMA na UKAWA wagombea wetu wanafahamika labda aende kwa vibaraka
 
Lema: "Lembeli + Nyarandu + Msigwa = Mafiga matatu".

Hawa jamaa ni wapiga madili sana. Katika baadhi ya vikao vya bunge lililopita, ilijulikana Tz imepoteza mabilioni ya hela kutokana na tozo katika Idara ya Wanyama Pori kwa sababu hawa jamaa walikuwa wanashirikiana na wenzi wa wanayama wetu.

Tuangalie, kwanza kama anafaa popote.
 
Hakuna Cha Ajabu Siasa Ziko Hivyo Kuna Wanasiasa Wanaweza Kusimama Kwa Uwezo Wao Bila Kutegemea Chama Watu Makundi Binafsi Nawakubali Sana Kwan Anakua Hata Na Sauti Ya Kukikosoa Hata Chama Cpendi Wanasiasa Mazuzu Wa Vyama Vyao Coz Chama Sio Dini But Performance Kikishndwa Kuleta Matokeo Kiadhibiwe Ikiwemo Kukimbiwa.
 
Sio Suala La Hati Miliki Ila Kupinga Ukoloni Mamboleo. Unaitikia Kila Lisemwalo Na Chama Ni Bora Kuukosa Ubunge Kuliko Kua Bendera Fwata Upepo
Hapaswi kupingana na taasisi yake adharani. Kama hukubaliani nayo ondoka siyo kuitishwa kana kwamba wewe ndiyo mwenye hati miliki ya jimbo.
 
ameezeeka akapumzike,awapishe na wenzake,akamsaidie jamaa kutunza wanyama pori!!
 
Nami nilimsikia akisema hayo maneno kupitia ITV. Kimsingi huyu baba yuko vizuri. Mi namkubali sana. Akienda chama chochote lazima atarudi bungeni

Huyu ni mchapa kazi na hawaogopi mafisadi kabisa kama vipi anakaribishwa cdm
 
Hakuna Cha Ajabu Siasa Ziko Hivyo Kuna Wanasiasa Wanaweza Kusimama Kwa Uwezo Wao Bila Kutegemea Chama Watu Makundi Binafsi Nawakubali Sana Kwan Anakua Hata Na Sauti Ya Kukikosoa Hata Chama Cpendi Wanasiasa Mazuzu Wa Vyama Vyao Coz Chama Sio Dini But Performance Kikishndwa Kuleta Matokeo Kiadhibiwe Ikiwemo Kukimbiwa.

Huyu mzee amekua akiandamwa sana na viongozi wa ccm kwa kuwa ni mkweli na haogopi kukosoa pale panapohitaji kukosoa.Hasa mgeja amekuwa ana muandama sana.
 
Lema: "Lembeli + Nyarandu + Msigwa" = Mafinga matatu.

Hawa jamaa ni wapiga madili sana. Katika baadhi ya vikao vya bunge lililopita, ilijulikana Tz imepoteza mabilioni ya hela kutokana na tozo katika Idara ya Wanyama Pori kwa sababu hawa jamaa walikuwa wanashirikiana na wenzi wa wanayama wetu.

Tuangalie, kwanza kama anafaa popote.

Hata kama kuandika kunakupiga chenga hilo siyo tatizo lako ni shule za kata,turudi kwenye mada hivi wale twiga waliopandishwa ndege hao ulio wataja walikuwepo vilee?
 
As long as hawa Wazee wataendelea kungangania madaraka serikalini na kwenye Chama tawala..vijana wasomi andikeni mumeumia....hamtapata ajira kabisa.solution wazee watoke vijana muanze kazi..Hivi Mzee Msekwa...Mzee Malecela...Kingunge bado wapo kazini???? Sasa hata busara zao hazitakiwi na vijana tena.STEP ASIDE PLEASE
 
Back
Top Bottom