Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Lembeli ni moja ya wabunge wanaonifanya niendelee kuwa mwana CCM.
 
Nilitaka kusikia nini maoni na michango ya wanaJF.Nikushukuru wewe umechangia kwa kuliza swali na nimekujibu.

Kama hujaridhika na jibu uliza swali la nyongeza. Angalizo unapo uliza swali la nyongeza ili ujibiwe na usitoke nje ya maada kama hii swali ni lilo jibu, sharti la kuuliza swali la nyongeza uanze na kibwagizo,"kwa kuwa".

Mkuu usipoteze muda wako kujibishana na jitu lenye jinsia mbili.
 
sababu ni serikali ya ccm ni familia ya kambale baba sharubu mama sharubu mtoto sharubu
au unaweza ukafananisha na ukoo wa panya baba mwizi mama mwizi mtoto mwizi
 
Nimeona jana wanamrusha kwenye taarifa ya habari nikabaki na mshangao kidogo
 
Ni pale mh huyu anapo watishia viongozi wakuu wa chama chake kwamba wa jaribu kukata jina lake kwenye wagombea wa ubunge waone kitakachotokea.

Pia kama hiyo haitoshi kuwa shawishi wapiga kura wa jimboni kwake kuchagua mtu na si chama.

Haya anafanya kwenye mikutano ya hadhara na si katika vikao rasmi vya chama. Nina haki angekua Mznz kama Moyo angesha fukuzwa. Hapa Utanganyika wake ndio una mbeba.

vitisho hana lolote anajijua makosa yake yeye na nyalandu walitaka kuuza hifadhi ya katavi kinyemela serikali ikawastukia na ndio chuki aliokuwa nayo
 
haziivi na m/kiti wa ccm mkoa,wapiga kura wake wanampenda,so mkikata jina Ana jump over the ship..kazi ni kwenu magamba
huku shinyanga ni chadema na ukawa kwenda mbele Kama mnabisha muukizeni zzk yaliyomkuta shy town.
 
Amewataka wananchI wafanye kama walivyofanya serikali za mitaa,wachague mtu na sio chama.

Bila shaka huko serikali za mitaa ccm iliangukia pua.

Lembeli amesoma alama za nyakati wananchi wameonyesha wanaweza kufanya mabadiliko.

Ndio maana kwa kauli zake anasema wakate jina lake waone, bila shaka amekaa mguu ndani mguu nje.
 
Huyu Lembeli ni mmoja wa wabunge wa ccm ninayowakubali sana kwenye msimamo wake kuhusu kutoa yenye kiburi anajua vizuri maovu ya chama chake cha ccm hakitaki watu waseme kweli ameshawapa tahadhari wakikataa jina lake imekula kwake.
 
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la Mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.
 
Back
Top Bottom