Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

As long as hawa Wazee wataendelea kungangania madaraka serikalini na kwenye Chama tawala..vijana wasomi andikeni mumeumia....hamtapata ajira kabisa.solution wazee watoke vijana muanze kazi..Hivi Mzee Msekwa...Mzee Malecela...Kingunge bado wapo kazini???? Sasa hata busara zao hazitakiwi na vijana tena.STEP ASIDE PLEASE

Mkuu ulilosema ni ukweli mtupu ila sasa kwa ccm utaonekana ni adui nambari moja.
 
Wakuu wote.....tuwashauri nsugu zetu tuwe REALISTIC..dunia inakwenda haimsubiri mtu...hata Mwalimu alisema aliyoweza kufanya ameyafanya na aliyoshindwa ameshindwa mwingine atayafanya.Mulioko madarakani pia mumefanya kadiri ya uwezo wenu na mengine hamjaweza....kuweni waungwana na wengine waje wafanye mliyoyabakiza.
 
Shule iko wapi hapo. Acha ujinga dogo. Umeona jina la Msigwa ukachanganyikwa. Hata hivyo si kauli yangu, ni ya Lema.

We kama unamtaka mfuate tu, ila ujuwe ndo wamaliza raslimli zetu hao.

Au we Lembeli mwenyewe Mkuu. Maana iaonyesha umeumia sana.

Hata kama kuandika kunakupiga chenga hilo siyo tatizo lako ni shule za kata,turudi kwenye mada hivi wale twiga waliopandishwa ndege hao ulio wataja walikuwepo vilee?
 
ni bora ahamie tu maana hawa wezi na mafisadi yeye ni mpambanaji sasa kukaa nao chama kimoja ni shidaaaa
 
Hii vita ya lembeli na mgeja mwenyekiti mkoa wa shiny ni ya mda mrefu sana ikumbukwe 2010 mgeja alimchezea mchezo mchafu lembeli kwenye majimbo pale mgeja alipompa jimbo fake.
 
mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa shinyanga mheshimiwa mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.

shosti, mshikaji wako akikuacha si uchukue mwanamume mwingine? Hapendwi mtu....
 
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la Mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.
Sipendi chama kumfanyia hila mwanachama wake na kama habari hizo ni za kweli nitamshangaa sana Mgeja na chama chake. Lakini nitashangaa zaidi kama Lembeli akihama ccm kuna chama kitakuwa tayari kumpa nafasi ya kugombea ubunge.
 
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la Mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.

James wacha ajizi, ni mtoto wa njaa! tii dhamira yako, magamba hufanani nao hata kidogo, you have always been strange bed fellows; watakukata tu, hilo liko wazi! Karibu UKAWA; njoo upande basi la VUGUVUGU kubwa la mabadiliko ya Ukweli
 
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la Mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.

Lembeli ameshanusa kuwa harudi anaanza kutapatapa.kama kafanya mazuri hakuna jinsi ya yeye kukatwa
 
Watakatwa wengi.
Lugola nae sijui kama atapona.
 
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Mgeja, amekanusha tuhuma zilizokuwa zikimwandama kwamba watalikata jina la Mh. Lembeli.

Lembeli amekuwa akilalamika sana kwenye mikutano yake ambayo amekuwa akifanya jimboni kwake kwamba, wakimkata atahamia chama kingine kwani yeye ni jembe na anakubalika jimboni mwake.

Karibu Cdm.
 
Back
Top Bottom