Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.
Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.
Chanzo: Nipashe
:israel:
tpaul wapotee hao tufanye yetu CHADEMA Lembeli ni mtu hatari sana ni kigeugeu asiye na msimamo thabiti hata ndani ya chama chake kwangu mimi namchukulia kama popo! Usishangae akiona anguko la ccm ni dhahiri akageuka na kuwa mwanaukawa tena mzungumzaji hasa
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.
Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.
Chanzo: Nipashe
:israel:
CCM mnashangaza sana. Mtu anayesema ukweli mnamkejeli na kumuona hana maana. Ila wale mafisadi ndio mnawaona wana maana. Chama kinazidi kujifia.
Mmepanga kumtanguliza ?
nikushauri kitu kimoja, kuliko kuitumikia bk7 ni bora ukawe house boy wa muhongo
kwa swala la Muhongo kufutwa kazi tupo pamoja ila Lembeli simuamini tena kwa kuwa wakati wa BMK alitetea sana serikali Tatu ilipokuja kupiga kura kageuka!! Haaminiki
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.
Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.
Chanzo: Nipashe
:israel:
nikushauri kitu kimoja, kuliko kuitumikia bk7 ni bora ukawe house boy wa muhongo
Ameropoka tu ili kumfurahisha Boss wake Mengi Lakini huko aliko nina imani anajututia Kauli yake.Kwahiyo yeye anakubali kwamba yupo kwenye chama kinachoangamia
Sasa angekuwa na akili timamu si angetoka ahamie chama kingine au maneno yote haya ni ulevi wa madaraka anafikiria tena ubunge 2015 anaona upepo hauvumi vizuri.
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.
Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.
Chanzo: Nipashe
:israel:
Huyu lembeli mpuuzi.. fisadi na mla rushwa mkubwa aliyewekwa mfukoni na nyalandu na makaburu baada ya Tanapa na ikulu kumzuia kuuza hifadhi ya katavi yeye na kilaza mwenzake nyalandu kwa makaburu naona anaganga njaa kwa mengi kama kwenye ishu ya Richmond walivyomchafua lowasa na kna..sta..mwakyembe..ana kilango malechela...malechela..selelii na kundi lao la mitume lililokua linalipwa na mlalamishi na mkwepa kodi mengi sasa watanzania walishawashtukia huyu mwehu na wenzake kna nassari wanaganga njaa kwa mengi ...lema na kna yerko nyerere waganga njaa....muhongo ni jembe na mkombozi wa watanzania umeme unasambaa vijijini kwa kasi ya ajabu wakati sku zote Rea ilkuwepo na power afrca ila hatukuwahi kuona hii kasi kubwa hivi mengi ni mbnafsi anataka aendelee kufilisi watanzania huyu mwehu alishasema rais mwinyi amewapa wahindi nyumba posta kawanyma wazawa mwinyi akaagza mengi apewe nyumba mbili mengi huyohuyo akauza nyumba alizopewa kwa wahindi...stupid guy
Muhongo awajibike asiwajibike adhabu na kiama cha CCM kipo pale pale, niniyi mnataka kunusuru chama badala ya Wananchi?
Hakika mafedhuli wote wa CCM kiama chenu chaja na hakuna pa kuficha nyuso zenu na mwisho wake ni October 2015.
Eee Mwenyezi Mungu utujalie kuwang'oa wakoloni hawa KWA KURA NA DUA ZETU MBAYA DHIDI YAO,HAKIKA WANA STAHILI ADHABU YAKO STAHIKI.
Hakuna cha msalie Mtume wakati huu kwa MAFEDHULI HAWA.
anayekiua ccm ni jk mnasingizia muhongo
Hakuna cha buku 7 wala 8 hapa kama zipo basi nyie ndiyo mnapewa na Mengi, Tambua kuwa Watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao walikuwa wanaomwamini Mengi kwa kila Uzushi wake,Watu wameamka wanajua kuwa Mengi ni Fisadi si mtu Saafi na kaamua kukomaa na Muhongo kwa Ajili ya Tumbo lake binafsi na si kwa Ajili ya watanzania, ujue kuwa endapo Mengi angepata Vitalu vya Gesi leo hii usingemjua Muhongo wala escrow, sasa Tambua ni kwa kiasi gani Mengi ni Mnafiki na mbinafsi.
Jk lazima afukuze Prof.Muhongo kabla ya tarehe 27.01.2015 asipofanya hivyo nitatembea dar-moro uchi