It is happening now! They will have to feel it. Hitting them hard nonstop kuanzia leo.
Mkubwa, you are better than this... Hizo bolded statements mbili mbona kama zinakinzana..???
Unaweza ukawa sahihi, lakini tunatakiwa tuwe makini na tunayoyaandika...Lakini message received!
Kwani usingetaja neno mbili mtu asingejua kuwa bolded statement ziko mbili? You'rent better than this!
Hebu elezea jimbo lake na mapungufu yake tupate kumchambua vyemaHuyu jamaa hewa tu anajua hakuna alichofanya kwa watu wa jimbo lake sasa anahangaika ila atapoa tu msipate shida kabisa ni mwanasiasa mwepesi mla rushwa flani ambaye alitegemea kubebwa na Lowasa.
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana