Lembeli akataa kubadili msimamo

Lembeli akataa kubadili msimamo

Mwizi tu akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira alikua anakwenda Mgodi wa North Mara kuchukua bahasha za hela na kulidanganya bunge utiririshaji wa maji ya Sumu mto Mara kule North Mara eti leo mnamuita jembe teh teh teh uwiii kweli CDM pango la wahamiaji haramu aende tu maana huku angekatwa tu!!
 
Lembeli hajawahi kuwa waziri!..

Lembeli alikua mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira uliza sasa alichokifanya akiwa mwenyekiti teh teh teh mzigo huo arudishe fedha za Mgodi wa North Mara kwanza alizokuwa anapewa kupotosha umma!
 
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana

kabila gani wew??
 
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana
imekura kwake. akawarehe watoto wake, anatengemea nguvu za kimira sana- we ngosha?
 
Kwa kahama ninavyojua hata akienda chama kingine ccm hawata hachia hilo jimbo imekura kwake akapumzike mapema kabisa ,akawarehe watoto wake,maana anatengemea nguvu za kimira sana

mmh kiswahiri!,karibu tanzania
 
Lembeli, Ester Bulaya...., sijui kina nani watafuata......, CCM vipandevipande!!
 
Huyu lembeli c ndo mamvi part ii hadi kwenye nyusi,kwa taarifa zisizo rasmi ni kuwa sisiem inataka kuhakkisha hakuna mbunge alietoka kwao kwenda upinzani atakaerudi bungeni kwa namna yeyote ile kaz kwao.
 
Back
Top Bottom