Muda wote mlikuwa bize na Zitto Kabwe leo ndio mnazinduka kuwa umeme umepanda wakati watu washasahau hili jambo.kinachonidhi hiki kipindi kuna wachangia mada kila siku ni hao hao.
Muda wote mlikuwa bize na Zitto Kabwe leo ndio mnazinduka kuwa umeme umepanda wakati watu washasahau hili jambo.kinachonidhi hiki kipindi kuna wachangia mada kila siku ni hao hao.
Lazima ateme pumba tu...
Saa moja hii Kamanda Godbless Lema na Albert wapo ITV wanazungumzia Operation Tokomeza.
Lema katoa nondo za ukweli, amesema Nchimbi alikuwa mkweli aliposema naomba mungu anipe roho ya kusamehe, ni kwasababu aliyetuma kuua watu na kuwatesa na rais wa nchi
lema ni kamanda wa jeshi gani?
Lazima ateme pumba tu...
We huna hoja ya msingi... we kila unachoskia unafikiri ni kweli... kuwa natabia ya kuchuja mambo la si hivo unaweza kushangaa kwa tabia ya kuamini kila unaloskia, utakuja kuuzwa ukijiona.. peleleza mambo na sio kuropoka hovyowaambie walinzi wakae macho kama kuna magari pembeni ataiba huyo ni mzee wa kazi zombe alisha wataadharisha
Walikuwa MBunge wa Arusha Mjini -Lema na Albert Obama -Manyovu Kigoma kipindi ni Uzalendo ,mada Tokomeza majangiri Isakwisa naona kama moderator kama hataingiliwa kipindi kitapendeza sana
Waliuizwa taratibu nji na maauziwalyofanya kama wbne uwasulubu maaziri mpaa wakajiuzuru na wenine kufukuzwa, Ripoti ya kamati ya Lembeli na Caucus ya CCM na mammuzi yao na walivyoweza kuuuungana na upinzani kuhakikisha seriali inawajibishwa
Samahani lakini! Naomba uongee na Lema akurudishe shule, mimi sijaelewa kasisa, samahani lakini.
Body without head
khaa!! Kama zaidi ya nusu ya wapiga kura ni wala majani na ndizi nyama ulitegemea nini??mwulize bati. Buriani alivyo mmburia ndo utajua kweli lema ni mwanasiasa aliyetukuka ndani ya nchi hii.
Muda wote mlikuwa bize na Zitto Kabwe leo ndio mnazinduka kuwa umeme umepanda wakati watu washasahau hili jambo.
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu
Leo nimeonana na mke wa Mwangosi maeneo ya Mtwivila! Amekulaani san mkuu. Unawatapeli hadi wajane tena pesa ya rambirambi!?
Khaa!! Prove it. then nami nitakuprovia ujinga wakesijui kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusema yeye siyo mjinga, hivyo hata wewe nina uhakika ni mjinga nampumbavu...
Khaa!! siyo ndio maana nasema kuna fuse imelegea kichwani.Mada inahusu(OTU)Operation Tokomeza Ujangili ilivyoendeshwa, sio maendeleo jimboni kwake.
Lazima ateme pumba tu...
Lazima ateme pumba tu...
ana lalama tu kuhusu mabomu mara ccm hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha ina mateja na wazurulaji tu