lane
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 908
- 513
nina kawaida ya kutowasikiliza wajingawajinga
ila una kawaida ya kuandika ujinga ujinga. Hakika haya ni majanga sasa!
pole ndugu, Lema atazidi kuwanyima usingizi tu. Na bado mtaisoma namba....
nina kawaida ya kutowasikiliza wajingawajinga
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu
Kwanini hamtaki kuamini kuwa Lema ni mjinga??
Anatoa ile hotuba yake ya miguu ya kuku na utumbo.
khaa!! Sina muda wa kumsikiliza bogaz
Kwanini hamtaki kuamini kuwa Lema ni mjinga??
Lazima ateme pumba tu...
Lema Hana jipya
huyu godbless j lema, mtaalum wa kuropoka na ni fundi.
Huyu Godbless J Lema, mtaalum wa kuropoka na ni fundi.
Vipi kwani? Huwa anamropokea hata dada yako ?Huyu Godbless J Lema, mtaalum wa kuropoka na ni fundi.
tupe mpya wewe
Lema ni zaidi ya wabunge kumi wa c.c.yemu.