Lema yupo ITV Live

Lema yupo ITV Live

Wala sipotezagi muda wangu kumsikiliza LEMA ataongea nini kipya?
 
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu

Nadhani anaongea kama Waziri Kivuli wa wizara ya Mambo ya Ndani na sio Mbunge wa Arusha.
 
Dah mbona Tanesco waliomba kupandisha bei wakatangaza kabisa hayo malumbano ya hoja hayakufanyika bei imepanda ndo malumbano ya hoja na je baada ya hapo bei itashuka au itapanda maana kama malumbano kuna pande mbili zinazosapoti na kupinga huu ulikuwa wakati wa kutake to the street sio malumbano tena wa Tz bana!
 
Watu wanataka kusikia kauri ya CDM kuhusu bei ya umeme na gesi, wao wanafanya siasa majungu tu ili watafutwe waongwe hela.
 
Ingekuwa inajadiliwa mjengoni atirist ingebahatika hata kuptishwa hyo hoja kwamba umeme ushuke! Lkn hapo nikumpgia mbiz gitaa!.......
 
Back
Top Bottom