Ni kawaida yake akishawahi tukana manzese kwenye mkutano wa kampeni kuwa CCM inewasababishia maisha magumu wakazi wa Manzese kuwa wengi wanakula utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku wakamzomea hakujua kuwa hicho ni chakula maarufu Kwa wakazi wa uswahilini Dar es salaam na hukila Kwa hiari Yao hata wachinje kuku mzima kilichowakuta Chadema ilinyimwa kura wakawapa CCM waliowahikishia kuwa miguu ya kuku,utumbo wa kuku utaendelea kuliwa kama kawaida
Dar uswahilini hata uwape hayo mapizza na ma burger Bure hawali hata wakila watadai uwape miguu ya kuku,utumbo wa kuku na vichwa vya kuku