Lema Watanzania sio Wajinga

Lema Watanzania sio Wajinga

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.

Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa kiasi hiki .
Kwa uchache tu naomba niweke upuuzi wake hapa:

1:Ugali ni chakula cha Maskini
2: Simba na Yanga ni laana
3: Boda Boda ni Laana
4: Anatabiria mahasimu wake vifo kana kwamba yeye ataishi milele
5: Wanaogombe ubunge Arusha mjini ni wajinga isipokuwa yeye
6: Hoteli za Kitali hazitakiwi kujengwa mbugani
7: Wasio wanachadema ni wapumbavu
 
Kama sio ujinga basi ni wengi wetu ni wazubaifu sana au wavivu kufikiria. Kama sio hivyo huwezi kuibiwa kura zako kitoto kitoto kama sasa kama akili zako ziko sawa na umechangamka
 
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.

Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa kiasi hiki .
Kwa uchache tu naomba niweke upuuzi wake hapa:

1:Ugali ni chakula cha Maskini
2: Simba na Yanga ni laana
3: Boda Boda ni Laana
4: Anatabiria mahasimu wake vifo kana kwamba yeye ataishi milele
5: Wanaogombe ubunge Arusha mjini ni wajinga isipokuwa yeye
6: Hoteli za Kitali hazitakiwi kujengwa mbugani
7: Wasio wanachadema ni wapumbavu
Kwa hoja hzi saba za Lema...sioni upuuzi wake.
 
Sasa wewe na yeye nani ana elimu ndogo? Siongelei vyeti hapa. Jitafakari ujijibu then jijudge mwenyewe, hatuhitaji majibu yako, uzuri umesema watanzania sio wajingo so watakupima. Umepuuzwa
 
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.

Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa kiasi hiki .
Kwa uchache tu naomba niweke upuuzi wake hapa:

1:Ugali ni chakula cha Maskini
2: Simba na Yanga ni laana
3: Boda Boda ni Laana
4: Anatabiria mahasimu wake vifo kana kwamba yeye ataishi milele
5: Wanaogombe ubunge Arusha mjini ni wajinga isipokuwa yeye
6: Hoteli za Kitali hazitakiwi kujengwa mbugani
7: Wasio wanachadema ni wapumbavu
Kwa hoja hizi za lema ,nadhihirisha kuwa mleta mada ana mada za kipuuzi
 
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.

Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa kiasi hiki .
Kwa uchache tu naomba niweke upuuzi wake hapa:

1:Ugali ni chakula cha Maskini
2: Simba na Yanga ni laana
3: Boda Boda ni Laana
4: Anatabiria mahasimu wake vifo kana kwamba yeye ataishi milele
5: Wanaogombe ubunge Arusha mjini ni wajinga isipokuwa yeye
6: Hoteli za Kitali hazitakiwi kujengwa mbugani
7: Wasio wanachadema ni wapumbavu

..Mama Abduli anaweza vipi kuiba kama hakuna kiwango fulani cha ujinga na uoga miongoni mwa Watanganyika?
 
Back
Top Bottom