Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Mbunge wa Arusha mjini ameahirisha kwenda Bungeni na kuanza kuzunguka kujibu mikutano ya hadhara iliyofanywa na UVCCM Arusha haswa wa soko kuuu Arusha.
 
Mbunge wa Arusha mjini ameahirusha kwenda Bungeni nakuanza kuzunguka kujibu mikutano ya hadhara iliyofanywa na Uvccm Arusha haswa wa soko kuuu Arusha

Haya bwana "ameahirusha"
 
acha uongo hoja ni wasaliti wanashughulikiwa hakuna haja kwenda bungeni kama nyumbani umeacha nyoka gamba wa waraka na mm. Na si kelele za chura uv zinaweza
 
kamanda ahsante kwa kuwajibika,.

Naona magamba wanafuka povu huku,..
 
Haya bwana "ameahirusha"

Baba v ignore typo ukianza such kind of analysis..... utatueleza vizuri maana ya v katika jina lako kishoka.. :teeth::teeth::teeth::teeth:
 
Picha za kurugenzi ya habari chadema. Za kahama bado sijaziona
 
Mbunge wa Arusha mjini ameahirisha kwenda Bungeni na kuanza kuzunguka kujibu mikutano ya hadhara iliyofanywa na UVCCM Arusha haswa wa soko kuuu Arusha.

Soko kuu Arusha?? Pale kijiweni mnapoita wale waswahili wa mnazi mmoja na pangani??
Wadanganye kina FaizaFoxy wanaorukia wasiyoyajua
 
Last edited by a moderator:
Hivi lema ni nani ktk serikali? Kama mawaziri hupungua hadi chini ya 50% na bunge linapeta huku hoja kibao zikiachwa bila majibu.
 
Back
Top Bottom