Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

Lema anaenda kujibu nini wakati hata hoja na fikra za maana hana.
 
wewe dada white girl,

acha kabisa kusema ivo. Hiki kibabu ukikipa mzigo wewe mwenyewe utafurahi saana. kinakamua kweli kweli. jaribu siku moja utatamani kila siku. utajuta kwa nini umechelewa.

Labda mwanaume wako wewe anakupumulia,sie tuna wanaume zetu wametulia sio hicho kibabu kilicholishwa shuntamaa
 
wewe dada yangu Simiyu Yetu mpe lema mzigo. wewe mwenyewe utatoa majibu. anakamua kweli kweli. utakuja kushuhudia humu JF kuwa lema(mb) ni jembe.

Lema anaenda kujibu nini wakati hata hoja na fikra za maana hana.
 
Hahaaaa.. Mbowe kiboko yenu, na Mungu ampe nguvu, mlidhani ananjaa mumuhonge auze chama ikala kwenu,
Sasa hivi viwavi wanaanzisha thread eti ajiuzuru.. Yaani hajiuzuru mtu mpaka kieleweke by 2015. Yaani ndege haijatua huko huko mnamshusha rubani angani? HADANGANYIKI MTU HAPA!!

Kamanda Mbowe chapa mwendo tutafika; vibaraka wote piga chini

Mkuu umemaliza kazi. Waache Wehu waweweseke huku sisi tukichanja mbuga.
CHADEMA ni mpango wa Mungu kushindana nayo ni sawa na kushindana na Mungu.
 
wewe dada white girl,

acha kabisa kusema ivo. Hiki kibabu ukikipa mzigo wewe mwenyewe utafurahi saana. kinakamua kweli kweli. jaribu siku moja utatamani kila siku. utajuta kwa nini umechelewa.

Hiyo ni saizi ya Josephine ya kutaman mababuuu,na hapo Mshumbus yupo kwaajil ya kuutaka ufirst lady,ujana wake aulie wapi uzee wake anifie mie aka babu
 
dada white girl,

jaribu uone. wewe hutaki raha? haya utakuja kumtafuta kumbe hayupo.

Hiyo ni saizi ya Josephine ya kutaman mababuuu,na hapo Mshumbus yupo kwaajil ya kuutaka ufirst lady,ujana wake aulie wapi uzee wake anifie mie aka babu
 
Kama ni movie, Mbowe ni kubwa la maadui - FaizaFoxy

Kimenuka!

Hakika, hapo kwenye blue...!!!
Ila 'dada' Faiza, politics aside, unavutia sana kwenye 'avarta' yako hapo..!!
Umependezaje...???

CCM_Cartoon_by_afro_swahili.png

jitetetea-kabla-sijakuvua-bukta.jpg
 
Kama ni movie, Mbowe ni kubwa la maadui - FaizaFoxy

Kimenuka!
Kweli ni kubwa la maadui kwa Mbweha wote, ambao hulka yao ni ufisadi.dhulma na kumwaga damu isiyo na hatia. Ndio maana hamuachi kuweweseka hadi siku ya kiama chenu. Ipo siku mtajua nini maana ya maamuzi magumu na hasara ya uongozi legelege.
 
Hakika, hapo kwenye blue...!!!
Ila 'dada' Faiza, politics aside, unavutia sana kwenye 'avarta' yako hapo..!!
Umependezaje...???

CCM_Cartoon_by_afro_swahili.png

jitetetea-kabla-sijakuvua-bukta.jpg
\

huyu mchoraji nampa mia kwa mia....ndio nawambia wapuuzi Zitto apunguze domo ili aondoke gracefully
 
Lema yuko shallow sana kwenye mambo ya bunge, analielewa hilo na kuona bora ajihusishe na migomo na maandamano. Aende bungeni aaibike?!!!!!

Awaachie kina Lisu(mp), Silinde(mp) nk waende wale posho halali. Lema ni tatizo chadema
 
Back
Top Bottom