victorshio
Senior Member
- Dec 6, 2013
- 183
- 42
Mbona wewe nitatizo kwenye familia yenu wazazi wako wana lalamika umearibikia ukubwani. Mh Lema nichaguo la mungu na lawana Arusha.
Ben anafanya kazi za chama kwa uzalendo wake na mapenzi kwa chama chake CDM,na nyinyi mnafanya kazi kwa njaa zenu kwa posho ili siku ziende,aibu kwenu woooote.Kama ben anavyojikweza ndanimya cdm
sijawahi kuona mchango wa maana wa lema labda kutukana tu. kwa hiyo ni bora hiyo kazi anayoifanya inaweza kuwa na tija kuliko huko bungeni. I am sorry.Mbunge wa Arusha mjini ameahirisha kwenda Bungeni na kuanza kuzunguka kujibu mikutano ya hadhara iliyofanywa na UVCCM Arusha haswa wa soko kuuu Arusha.
Lema yuko shallow sana kwenye mambo ya bunge, analielewa hilo na kuona bora ajihusishe na migomo na maandamano. Aende bungeni aaibike?!!!!!
Awaachie kina Lisu(mp), Silinde(mp) nk waende wale posho halali. Lema ni tatizo chadema