Kama ni movie, Mbowe ni kubwa la maadui - FaizaFoxy
Kimenuka!
Hahaaaa.. Mbowe kiboko yenu, na Mungu ampe nguvu, mlidhani ananjaa mumuhonge auze chama ikala kwenu,
Sasa hivi viwavi wanaanzisha thread eti ajiuzuru.. Yaani hajiuzuru mtu mpaka kieleweke by 2015. Yaani ndege haijatua huko huko mnamshusha rubani angani? HADANGANYIKI MTU HAPA!!
Kamanda Mbowe chapa mwendo tutafika; vibaraka wote piga chini