Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Pesa zake peke yake hazitoshi, kwanini serikali ya ccm isipunguze posho kwa wabunge wote kama ilivyotakiwa na Chadema? Pili kwani vipaumbele vya serikali hii ya ccm nini? kama hausiki na huduma za kijamii kama mashule na mahospitalini kwanini bado ipo madarakani? ukitoka Msalani nadhani utanielewaHuyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Inasemekana huyu jamaa ana ubongo mdogo sana kama wa kuku, mara zote anawaza ngono tu!
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Mkuu kwahiyo na wewe unaamini kuwa KENYA waliponunua ndege kubwa aina ya B777-300ER , hawana changamoto zozote za ELIMU, AFYA etc?
Pesa zake peke yake hazitoshi, kwanini serikali ya ccm isipunguze posho kwa wabunge wote kama ilivyotakiwa na Chadema? Pili kwani vipaumbele vya serikali hii ya ccm nini? kama hausiki na huduma za kijamii kama mashule na mahospitalini kwanini bado ipo madarakani? ukitoka Msalani nadhani utanielewa
hoja yako hapo ni nini? Posho ya lema tu ndiyo inaweza kununua madawati, hivi watanzania mbona kila jambo hatulitafakari
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Msalani, kazi ya mbunge ni kuikumbusha serekali kutekeleza wajibu wake na siyo kwenda kununua madawati, kujenga shule, zahanati n:k. serekali inakusanya kodi na inatakiwa izipangilie vyema then irudishe mrejesho kwa walipa kodi. mbunge akiitwa kwenye harambee sawa. serekali ikitumia vizuri kodi zetu, rasilimali zetu, kuondoa misamaha ya kodi kwa baadhi ya mafisadi kila kitu kinawezekana. wabunge ambao wanatumia fedha zao kujenga madarasa, zahanati na maabara kuna uwezekano hawalipi kodi kabisa kwenye biashara zao au wapo kwenye misamaha ya kodi.
Lema kajenga hoja ya maana, sema Lumumba chini ya kaka yao MSALANI mmeamua kwa makusudi kujifyatua akili.
charity begins at home, na Penye nia pana njia, akianza yeye atakuwa na guts ya kusimama na kusema na watu wakamuelewa.
Ni training ama umegawa ID,wewe akili zako ni ndogo sana,naona umevunja yai
Sasa,asipopokea pisho yeye atajikimu vipi pale dodona,jua kwamba nae ana mahitaji,labda ujitolee kumlipia hotel,chakulana mahitaji muhimu ilu aachie posho