Lema: "Serikali inaonewa"


Una akili ya pichu
 

We. ke. nge. maji kweli. hizoposho, anaziiba au ni sitahiki yake?.
 
Hoja ya mheshimiwa Lema ni kwamba, serikali ya CCM imeshindwa kununua madawati je inaweza kununua ndege kwa ajili ya ATCL?

Lema hana uwezo wa kujenga hoja ikajengeka, labda vioja: Kumbuka hivi majuzi, Kenya Airways, imenunua Ndege mbili aina ya B777-300ER zenye uwezo wa kubeba abiria 400 kila moja. Lema anataka kusema nchi jirani ya kenya hakuna changamoto za HOSPITALI wala ELIMU? Je Kenya hakuna changamoto zozote za Kimaisha? Ifike mahali LEMA ache ujinga, wakati anaongea bungeni awaze kabla, asije akadhani kuongea bungeni ni kama anaongea na wahuni wenzie.
 
Lema ana ufahamu mdogo sana, labda tumuulize ile Chopa alipiganayo picha ipo wapi.
Unaweza kumlinganisha Lema na yule ustaadh Musa Chande wa Liwale? soma habari yake hapa!
 
Kumbe unakubaliana na hoja ya Lema kwamba Vipaumbele vya serikali ya CCM sio kuleta maendeleo na ndio maana imeshindwa kununua madawati, na kamwe haitaweza kununua ndege!
 
Nikikosa mchango wa Lema huwa naumia sana. Jf isingekuwa imejaza vilaza wa Lumumba hoja hii ingejadiliwa kwa hoja kwa zaidi ya mwaka.
 


We wa ajabu kweli yaani, akili zako zako hazina akili. Sasa ataamrishaje posho zake ziende kunnunua madawati ya shule au kuamrisha mkopo wake wa shangingi uemnde kujenga dispensary!! Atakua anatumia kanuni gani, au unataka upate cha kusema kwamba anajioendekeza? Kua na akili japo kidogo wewe. Kila kitu kina mpango wake!!
 
Kumbe unakubaliana na hoja ya Lema kwamba Vipaumbele vya serikali ya CCM sio kuleta maendeleo na ndio maana imeshindwa kununua madawati, na kamwe haitaweza kununua ndege!

Mkuu kwahiyo na wewe unaamini kuwa KENYA waliponunua ndege kubwa aina ya B777-300ER , hawana changamoto zozote za ELIMU, AFYA etc?
 
Mkuu kwahiyo na wewe unaamini kuwa KENYA waliponunua ndege kubwa aina ya B777-300ER , hawana changamoto zozote za ELIMU, AFYA etc?
Vipaumbele vyao vipo kuinua uchumi wao na sio kufuja mali ya umma na kuendekeza ufisadi kama wa serikali ya CCM!
 
View attachment 160723
 
Vipaumbele vyao vipo kuinua uchumi wao na sio kufuja mali ya umma na kuendekeza ufisadi kama wa serikali ya CCM!

Hoja ya LEMA iko hivi: Hatuna haja ya kununua Ndege kwa sababu tuna changamoto za ELIMU na AFYA.
 
Lema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee UKAWA juuuuuuuuuuuuuu Tanganyika ileeeeeeeeeeeeeee Chama cha Mapinduizi chiniiiiiiiiiiiiiiii Chini Chini kabisa!!!!!!!!!
 
Hoja ya LEMA iko hivi: Hatuna haja ya kununua Ndege kwa sababu tuna changamoto za ELIMU na AFYA.
Hapana, Lema alisema bila kumung'unya maneno, kama serikali imeshindwa kununua madawati itaweza kununua ndege? na akasema tatizo ni kuwa viongozi hawafikiri ''postively".
 
Ama kweli,katika watu wanaoongoza humu jamvini kwa uzezeta mmoja wapo ni huyu mbulukenge chooni.,yaani kweli analinganisha shirika marehemu na kenya airways???M..... ni m..... tu.(Nyonyonyo nyonyonyo nyonyonyo)
 
Iwe isiwe Hoja ya Lema ni valid.
NA SI AJABU MADEGE YAKAJA NA BAADAE KIDOGO YAKABINAFSISHIWA WAJANJA WALIOUBUNI MRADI.Time never lied!
 
Huo ni ukweli Wala sio Siri japo sisi watanzania mtu akikosoa jambo la kweli huwa adui. Watoto wanakaa chini mashuleni, akina mama wajawazito wanalala mzungu wa nne wodini, sasa Leo tulaumu kushindwa kununua ndege inayogarimu mabilioni ya fedha.
 
Komba: CHADEMA hawana ofisi bali wana kitundu tu pale kinondoni

lile tumbo lake kama tembo ndo ofis za cdm ziko pale,kweli wajinga niwingi,et nakomba nimh,enzi za mwl mtu kama komba niviboko,na akamsimulie mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…