Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Salamu wakuu,
Haya ni mapendeleo yangu tu hivyo na wengine labda mtakua na muoneleo tofauti juu ya kushikiliwa kwa kiongozi mbunge wa Arusha mjini.
Ni dhahiri familia na wananchi wako wameikosa huduma yake adhimu kwa muda sasa, yapata miezi miwili sasa tangu alipokamatwa mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema kwa kosa ambalo wengi wetu tunalifahamu lakini tunakejeli kwamba Lema hana hatia.
Nakuomba Lema 'funika kombe mwanaharamu apite" jeuri, kiburi na dharau kwa mtukufu vitakufikisha kubaya, laasivyo utaozea jela! OMBA MSAMAHA tu yatakwisha na utapewa dhamana kirahisi tu, kwani kiuhalisia hukupaswa kuwa ndani kwa muda wote huo.
Ni ushauri tu