Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

Ndio nimemaliza

Ila kwaujinga wa liccm unalolishabikia bora nisingemaliza niendelee kula boom
Endelea kusoma namba mkuu

Lema hata akitoka leo hutafaidika chochote katika utawala huu

tena mwalimu wa sanaa
Katulimie matikiti tu, wacha kupoteza muda Jf mapema yote hii
 
Bora yeye yupo ndani,je rafiki yake kipenzi Alphonce Mawzo yeye aliyeuwawa mchana kabisa saa tano hapo wewe unasemaje,mbona yeye hawakumpa nafasi ya kuomba msamaha

maaaan ..we acha tu

RIP Mawazo Alphonce

He was killed and no one was arrested.....

Hii dunia hii...basi tu
 
Aombe msamaha kwa kosa lipi? Mbona mnapenda kumtukuza sana uyo binadamu?
ni kweli ila jeuri na kiburi ndio vilivyomfikisha hapo alipo!
Lema hakustahili kusota namna hii, akubali tu kujishusha aombe radhi atoke aendelee na majukumu yake ya kawaida
 
Kazi hiyo anaiweza Murro tu, panoja na vijembe, kejeri kwa TFF alivyopigwa pinj mwenyewe kasalimu amri. kaamua kuomba msamaha, tens hadharani
Yule nae namashaka na ufikiri wake!
amejizalilisha tu, kwani adhabu yake ameitumia nusu so alihitaji uvumilivu anamaliza!

Njaa mbaya sana
 
Siungi mkono hoja kuwa Lema aombe msamaha kwa kosa gani. Lema hana haja ya kuomba msamaha wowote kwa yeyote kwa kutoa mawazo yake. Yote anayotendewa ni dhulma na karma itamlipia, ila pía akitoka atakuwa amejifunza kitu, he will never be the same again, atakuwa wiser kwamba sio kila anachofikiria atakitamka, kuna mengine unawaza lakini unayaweka moyoni.

Yule Mtabiri wa Nigeria TB Joshua kuna kitu ametabiri kuhusu Tanzania kitatokea kabla ya 2020, watu tupo tumekisikia lakini tumenyamaza hatukisemi, hivyo Lema akitoka atakuwa amejifunza sio kila kitu ni lazima kusema, kuna vitu vingine mtu unapaswa kuhifadhi moyoni mwako.

Poleni sana wote mnaoguswa na kadhia ya Lema, karma ipo na malipo ni hapa hapa duniani.
Paskali
Bado unawaamini watabiri wa uongo matapeli hao!!!!??? Alitabiri nini kikawa kweli? Si alitabiri mama Clinton atakuwa Rais,je amekuwa?? Tumia bongo zaidi
 
Upo sahihi sana mkuu, Mh. LEMA ni lazima aombe msamaha kwa Mh. Rais na kuomba msamaha si kujidharirisha bali kuomba msamaha ndo uungwana. katika PHILOSOPHY kunakitu tunaita "INTELLECTUAL HONEST" kama Mh. Lema ataomba msahama kwa kauli zake atakua amekubali kosa lake na pia atakua ameonesha uungwana katika dhamira yake na jamii yake hivyo basi kitendo cha kukubali udhaifu wake na kuapolojaizi ndo kinaitwa Intellectual Honest
 
Kwa wasiojitambua nishujaa Ila kwasisiwananchi hatuoni sababuyamsingi iliyomfanya awe mahabusu. Ilakwakua tumeshagundua tulipoteza kurazetuxkumchagua, tukijaaliwa 2020 tutaangalia mtumwingine aliye bora kuliko Lema iliyeye Lema apatenafasi ya kulumbana. Sisitunataka maendeleo sio kilawiki kwenda kusikiliza Mahakama kwa matatizo ya kujitakia.
 
Kwa wasiojitambua nishujaa Ila kwasisiwananchi hatuoni sababuyamsingi iliyomfanya awe mahabusu. Ilakwakua tumeshagundua tulipoteza kurazetuxkumchagua, tukijaaliwa 2020 tutaangalia mtumwingine aliye bora kuliko Lema iliyeye Lema apatenafasi ya kulumbana. Sisitunataka maendeleo sio kilawiki kwenda kusikiliza Mahakama kwa matatizo ya kujitakia.


tayar gumbo mnae unahangaika nini?
 
Lema hana tabia za kula kulala kama wewe.sio mtoto wa mama.Hawezi rudisha majeshi nyuma.mashambulizi ni kwendanda mbele mpaka aachie mwenyewe. Na hatimaye ataachia tu.
 
Bado unawaamini watabiri wa uongo matapeli hao!!!!??? Alitabiri nini kikawa kweli? Si alitabiri mama Clinton atakuwa Rais,je amekuwa?? Tumia bongo zaidi
Ndio maana kuna vitu sio tuu unawaza vingine unaambiwa kabisa kutoka kwa watu wa kuaminika na bado sio lazima uamini na hata ukiamini sii lazima useme.

Hebu angalia hapa upime nilisikia nini kumhusu Magufuli na upime nimesema nini kumhusu Magufuli.

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Paskali
 
Lema hana tabia za kula kulala kama wewe.sio mtoto wa mama.Hawezi rudisha majeshi nyuma.mashambulizi ni kwendanda mbele mpaka dikteta aachie mwenyewe. Na hatinaye ataachia tu.
KAKA mbona unachanganya mada wewe hoja ni dikteta au hoja ni Utashi wa lema katika Siasa na jamii kwa ujumla??
 
Back
Top Bottom