Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

Siungi mkono hoja kuwa Lema aombe msamaha kwa kosa gani. Lema hana haja ya kuomba msamaha wowote kwa yeyote kwa kutoa mawazo yake. Yote anayotendewa ni dhulma na karma itamlipia, ila pía akitoka atakuwa amejifunza kitu, he will never be the same again, atakuwa wiser kwamba sio kila anachofikiria atakitamka, kuna mengine unawaza lakini unayaweka moyoni.

Yule Mtabiri wa Nigeria TB Joshua kuna kitu ametabiri kuhusu Tanzania kitatokea kabla ya 2020, watu tupo tumekisikia lakini tumenyamaza hatukisemi, hivyo Lema akitoka atakuwa amejifunza sio kila kitu ni lazima kusema, kuna vitu vingine mtu unapaswa kuhifadhi moyoni mwako.

Poleni sana wote mnaoguswa na kadhia ya Lema, karma ipo na malipo ni hapa hapa duniani.
Paskali
maoni kama haya ndo yatafanya aendelee kushikiliwa ili haki itendeke na haki yenyewe ni sheria kufuatwa ndio maana yupo ndani hadi leo na sheria ikiendelea kufuatwa, atatoka huko akiwa si mbunge tena bali mfungwa. Ninyi ndo mnakaza kitanzi badala mkifungue mkidhani kitanzi kinamwonea wakati kichwa kaingiza mwenyewe!
 
Hakuna huduma yoyote tuliyoikosa kutoka kwake maana kazi yake kubwa ni kuhamasisha maandamano,migomo na kila aina ya uchafu.Acha aendelee kukaa huko ili aelewe kwamba serikali hii si legelege wala dhaifu kama alivyozoea kusema.
 
KWA HIYO UKISEMA Mh.LEMA OMBE MSAAMA KWA MAGUFULI kwa hiyo Magufuli ndio kamuweka magereza sio ndio Wewe umetudhilishia kuwa RAIS MAGUFULI ndio kamuweka ndani?Mungu anawaona serikali ya ccm na fitina zenu badala ya kuwasaidia Watanzania.

swissme
 
Hakuna cha msamaha....Lema labda akaimbe mahakama msamaha... Lema atasamehewa na mahakama lakini akumbuke mahakama si mama wala baba yake mpaka imuonee huruma.

Mimi napendekeza akae uko miaka 27 ili awe Mandela kweli.
 
Aombe msamaha kwa kosa gani yaani lema aote ndoto aombe msamaha wakati ndoto ni maono dhuluma anayotendewa malipo ni hapa hapa duniani
 
KWA HIYO UKISEMA Mh.LEMA OMBE MSAAMA KWA MAGUFULI kwa hiyo Magufuli ndio kamuweka magereza sio ndio Wewe umetudhilishia kuwa RAIS MAGUFULI ndio kamuweka ndani?Mungu anawaona serikali ya ccm na fitina zenu badala ya kuwasaidia Watanzania.

swissme
Ndio huyo mkuu, mana ndiye mlalamikaji
 
Hakuna cha msamaha....Lema labda akaimbe mahakama msamaha... Lema atasamehewa na mahakama lakini akumbuke mahakama si mama wala baba yake mpaka imuonee huruma.

Mimi napendekeza akae uko miaka 27 ili awe Mandela kweli.
Vua iyo jezi uliyovaa

Kuwa na ubinadamu
 
Hakuna cha msamaha....Lema labda akaimbe mahakama msamaha... Lema atasamehewa na mahakama lakini akumbuke mahakama si mama wala baba yake mpaka imuonee huruma.

Mimi napendekeza akae uko miaka 27 ili awe Mandela kweli.

Ni sawa kama jamaa mleta mada kadhihilisha kuwa Mh Lema kawekwa magereza na Raisi that its easy.

swissme
 
Back
Top Bottom