Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru mMashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu
 
Peleka hiyo houseboy mahakamani, Mkuu wanasheria wa Lema waikalie waisuke kiukweli. Na ushahidi wa video upo na wanafunzi wako tayari kutoa ushahidi wao live. Ondoa hili houseboy Arusha, hana hadhi ya kuwaongoza wana arusha.
 
Peleka mahakamani huyo. Haiwezekani akili ndogo itawale akili kubwa
 
Naomba akina Kamongoro na Mtui kama mawakili wake wafanye haraka ili kumkomesha huyu kilaza.tumechoka kunyanyasika ndan ya nchi yetu kutokana vyeo vya kupeana na hao magamba.
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.

Na akipelekwa lazima atajuta, maana CCM wakishaga ona maji ya shingo wanakuachia jumba bovu ulibebe peke yako... We uliza waliokata rufaa ya kesi ya ubunge wa Lema
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
 
Kuna haja ya sheria kama za china zikaingizwa kwenye katiba mpya............... huyu Mulongo hana qualifications ya kuvuta pumzi ya mungu kabisa................... huyu jamaa hana utu kabisa
 
Akizungumza na
waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa
Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa
Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza
kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na
kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki
kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa
mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.

Lazima atatimua mbio kama pale Uhasibu kaka, ni mwoga kishenzi huyu Mulongo. Utasikia yupo nje ya nchi kwa matibabu!
 
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.

kwa hilo hata mimi sikuachi.
 
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.
 
Peleka hiyo houseboy mahakamani, Mkuu wanasheria wa Lema waikalie waisuke kiukweli. Na ushahidi wa video upo na wanafunzi wako tayari kutoa ushahidi wao live. Ondoa hili houseboy Arusha, hana hadhi ya kuwaongoza wana arusha.

sawa kamanda
 
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa

hujui kuna alivuliwa ubunge?. ccm mnakazi sana. kitu gani unachojua aliahidi hajatekeleza? tutajie ahadi ambayo hajatekeleza sio mnaongea bila utafiti.
 
kama kweli alitumiwa sms za
vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure

Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya
Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale
alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake
hapa

Jaman mbunge hanunulii watu nyanya wala hajengei nyumba watu. lema kafanya meng wewe,anasomesha zaid ya watoto yatima 120. Aliahidi kujenga hosp shamba kashapata bado kuanza ujenz mbona hayo ni makubwa jaman ukitofautisha na magamba?
 
Back
Top Bottom