Tulipokuwa JKT kuna maafande walikuwa wakitutukana kwamba akili etu hazina ubongo bali zina kamasi. Hili neno lilikuwa likiniudhi sana. Nilishangaa inakuwaje mtu aliyeishia darasa la saba anadiriki kusema kuwa mtu aliyemaliza kidato cha sita tena akafaulu eti anatumia kamasi badala ya akili"
Lakini leo kwa hoja kama hizi, nafikiri wale maafande walikuwa right' Ndugu BK hebu pamoja na ushabiki na chuki zako kwa Lema basi utumie walau sehemu kidogo ya akili. "kama huna kabisa basi nyamaza ufiche unga wako"